Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,511
- 40,601
Kwa mtazamo wako wewe ukoje?Ngoja wanakuja kutoa maelekezo...
Kwa sasa je?Ilikua dhambi.
IliyokatazwaDhambi ni nini
Aliye sema ni dhambi ni nani?Usizini
Uzinifu kwa waliokwenye ndoa au ambao hampo, najua mnajua kuwa ukizagamuana tu ni dhambi 🙊
Kwa hiyo ni bora kuishi kwa kuamini mpaka ndoa?Unajua tatizo linakuja wapi? Utalinganisha! Na hapo ndio usaliti utakapoanzia..lakini ukioa bila kutest mitambo na yeye ukamkuta bikra ina maana wote mtajuana ukubwani na mtapendana kweli..ila ukijaribu tu kuonja nje..utazoea..! Kwani utagundua utofauti..japo kuna mwamba kule Tanga alikua na mabasi yake yanaitwa Zafanana.
Huyo aliye sema ni dhambi alikuwa na kusudi gani?Ni dhambi mkuu, wala haina kupepesa macho
Kwa hiyo kutest mitambo ni muhimuKidini na kimila ni dhambi, pia.
Kwann dini na mila zinapinga ngono kabla ya ndoa hata kisayansi pia jibu ni Ili kuzuia upofu wa kutoona mabaya ya mwenza, so mtaingia kwenye ndoa kwa pressure ya nyege na sio upendo, baada ya miezi 3 hadi unaanza ziona tabia za mwenza kifuatacho ni talaka.
Unafanyaje sasa zaidi ya kuendeleza libenekeee tu mwendo wa ndoigee tu shoow shoow🤣😇😇Mfano; umevumilia mpaka ndoa, baada ya ndoa unagundua mwenzako anazo mbili, utafanyaje?
Wapo wanaoshikilia hiyo misimamo; akikuambia uonji kitu, na kweli auonji.Nani kwani anataka kuuziwa sabuni kwenye kasha la simu..
Kitu lazima kipoteze nguvu haraka, hakuna kusimamaUnafanyaje sasa zaidi ya kuendeleza libenekeee tu mwendo wa ndoigee tu shoow shoow🤣😇😇
Dunia iko ukingoniNa kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi?
Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k.
Kwa upande wangu nina ushuhuda wa binti mmoja miaka hiyo ya mbali, ambaye alinivutia kimuonekano na nikashawishika kweli kweli; na kimoyo moyo nikawa najisemea huyu atakuwa mke wangu (wakati huo yeye alikuwa akisoma kidato cha sita shule ya wasichana huko machame).
Baada ya binti kuniona nimekolea kwenye mahusiano; akawa hataki kufanya majaribio ya mitambo, akawa anasema mpaka tutakapofunga ndoa.
Tulikaribia kumaliza mwaka mzima, lakini yeye alibaki na msimamo wake. Mwisho wa siku, nikang'atuka nikaanza kutafuta jimbo lingine na maisha mengine yakaendelea.
Kilichomgharimu au kumfukuzia mume mtegemewa, ni ile hofu ya kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa.
Inawezekana humu, kuna wengine hawajafikia ndoa kutokana na sababu hiyo au zinginezo.
Na kufanya majaribio ni muhimu, ili kuepusha ile hali ya kuja kuishi na mtu mwenye nazo mbili kwa wakati mmoja.
Mfano; umevumilia mpaka ndoa, baada ya ndoa unagundua mwenzako anazo mbili, utafanyaje?