labda tuanze na wewe maana na wewe ni walewale:
1. Ujasiri huwa unatoka wapi?
2. Je akili zako kwa wakati huo huwa zinafanya kazi kweli au?
3. Je huwa huoni aibu?
4. Je huwa unamaliza nyegezako kweli kwa mtindo huo wa kuwa eneo hatarishi?
5. Je hao watu ambao hufanya nao mapenzi maeneo ulkiyoainisha hapo juu huwa ni wa 'Hadhi" gani? maana sitarajii watu wa hadhi fulani hivi kufanya mapenzi kwenye public transport!
6. Je huwa unatumia condom? au huwa mnajisafisha baada ya tendo hilo au ndio unapotezea kiaina tu na kuendelea kunuka shahawa mbele za watu? nina maswali mengi lakini naomba tuanzie hapo kwanza😱hwell: