Kufanya mapenzi sehemu hatarishi

Kwenye kiambaza cha kituo cha polisi ukiwa ushapiga bangi na gongo kinoma na zingine ziko pembeni za kutumia baada ya kumaliza ku-do.
 
Nyum,bani kwa msichana au mvuulana anayekaa na kaka au dada yake.pia wapo watu jasiri kuliko simba hao huenda nyumbani kwa msichana au mvulana wake wakati wazee wameenda kazini au wamesafiri kikazi au likizo.

Kaka umenikumbusha mbali sna duh nimepiga sana za hivyo ndg yangu nilikuwa na demu wangu mmoja mwarabu mswahili enzi hizo nikiwa form two tunatoroka shule tunaenda piga mzigo nyumbani kwa kina demu,pia hizo za vichochoroni na mapagaleni ndo ucseme ilikuwa tamu mno,mapenzi ya wizi wizi huwa ni matamu balaa!
 
siku zote vyakula vinavyoongeza hamu na radha ya chakula uwa ni vichungu au vichachu like pilipili,limau tangawiz nk
 
Ndani ya jumba la sinema limejaa to the maximum watu kama 500 hivi we umechagua sehemu yako kwenye corner juu kabisa unanihii na mpenzi kwa raha zenu.



 
Last edited by a moderator:
Mmmmh....nilijaribu siku moja kwenye gari mguu wa demu ukaenda kwenye honi kulikuwa ni jirani na nyumba watu wakatoka nusu tunaswe.....yaani we acha tu
 
juu ya mti wa mpera au mti wa mkorosho, chini ya uvungu wa basi hapo kondom mfuko wa rambo[/QUOTE]

Eti juu ya mti mmekuwa tumbili ? na mkiporomoka na JOGOO yupo ON "akite chini", Au wote mteguke viuno hamjavaa underwear....mtasubiri vipi wasamaria wema na kuinuka hamuwezi ?
 
kitu ndani ya nyumba ya ibada asikwambie Mtu
Wakati mwingine Binadamu anatenda dhambi ambayo hata shetani anashangaa, maana hata yeye hajafika huko!!!!!!!
 
daaahhhh!
Umenikumbusha mbali sana kipindi balehe zinanisumbua nilishawahi kufanyamapnz juu ya MZAMBARAU!

Na maranyingi ukifanya mapenzi ktk maeneo hatarishi ni nadrasana ukapiga mashuti mawili na zaidi....
maana maranyngi ni zakiuwiziuwizi***
 
Nyuma ya siti ya Bus? He?!! Au abiria hawapo?.. Ikulu?!! How embu fafanua!!

Hiyo mi nilishuhudia kwenye basi la BM Coach nikiwa naelekea Moro, walikuwa last seat mida ya jioni na demu alikuwa na miguno kiasi cha kumchanganya dada nilekaa nae hata kujipiga bao. so it is possible and people do it like crazy
 
Mmmmh....nilijaribu siku moja kwenye gari mguu wa demu ukaenda kwenye honi kulikuwa ni jirani na nyumba watu wakatoka nusu tunaswe.....yaani we acha tu

Mkuu hii post yako,umefanya nimecheka sana, vipi kama gari ingejimuvuzisha???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom