Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ikiwa chini ya dk 30 basi kweli maendeleo hayana chama.Ukweli usiopingika ni kwamba kufanya mapenzj ni dk 25-30 ukizidisha zaid ya hapo basi hizo ni mbwembwe tu. Ndani ya hzo dk wote mtakuw mmekojoa tyr
Ukiona mwanamke au mwanamke hajakojoa bhs kuna uwezekano ww mwanaume sio fundi au mwanamke anamatatizo au hajishughulishi kitandani.
Ndugu zangu tusipoteze nguvu kwenye mapenzi, hzo nguvu tuendekeze kwenye mambo mengine. NAWASILISHA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ikiwa chini ya dk 30 basi kweli maendeleo hayana chama.
Sijaumbwa kumfurahisha mtu mimi. Nikishiba tosha kama yeye bado afuate kibomba washroom
Mtoa mada hujakutana na mademu konkii ww,wanawake wanatofautiana mwingne kwel dkk hzo 25-30 anakuwa tayar kashakojoa na kuridhika lkn mwingne usipoenda lisaa limoja hujafanya kitu na wanawake wa hv yaan ukibahatika kumkojoza yaan anakuwa kama zezeta kwako hata umwambie kaibe hela benk anaenda[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wenye matatizo yao wakifarijiana kwamba hawana tatizo
namimi naunga mkono hoja ndani ya dk 25 asipokojoa anywe maji mengi akakojoe chooni
Humu ndani sidhani kama kuna mtu a naweza kupiga show dakika thelathini ngumu sana Mfumo wa maisha tulionao ngumu sana dakika kumi unevutaa sana kumi na tano zaidi ya hapo labda ujibusti na vumbi la zaire
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe dk zangu 3 ni standard kabisa.Napiga dakika e wazungu wakishanitoka nakupa chako unasepa
Sent using Jamii Forums mobile app