Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,167
- 1,078
nmependa ujumbe huu mkuu
DuuuhKuna kipindi nilikua naota sana nafanya mapenzi na mwanaume simfaham na alikua mweupe na nywele ndefu zinamfunika uso,,pembeni ya kitanda walikaa wanawake wawili wanatuangalia,,nilikua naota napata raha ajabu kuna kipindi nilifululiza kumuota lakin nishaacha kuota sana kama zamani
Atakuwa Nyani ngabu huyo tu😛😀😀😀😀Kuna kipindi nilikua naota sana nafanya mapenzi na mwanaume simfaham na alikua mweupe na nywele ndefu zinamfunika uso,,pembeni ya kitanda walikaa wanawake wawili wanatuangalia,,nilikua naota napata raha ajabu kuna kipindi nilifululiza kumuota lakin nishaacha kuota sana kama zamani
Kama utachunguza wakati huo ulikuwa katika mahusiano ambayo yalikuwa hayakutoshelezi. Sasa ile gap kati ya ulichofikiria kukipata na unachokipata vilikupa mawazo ambayo matokeo yake ni hizo ndoto zilizokuja mahususi ili kubalance. Usihofu si jini mahaba wala nini!! Umepata anakufikisha ndio maana wenge limekwisha!!!Kuna kipindi nilikua naota sana nafanya mapenzi na mwanaume simfaham na alikua mweupe na nywele ndefu zinamfunika uso,,pembeni ya kitanda walikaa wanawake wawili wanatuangalia,,nilikua naota napata raha ajabu kuna kipindi nilifululiza kumuota lakin nishaacha kuota sana kama zamani
Hhhheeeeee nyani ni msukumaAtakuwa Nyani ngabu huyo tu😛😀😀😀😀
Kabla sijayakabidhi maisha yangu kwa Bwana Yesu, nilisumbuliwa sana na haya mashetani. Namshukuru sana Mungu Aliyeniokoa na sasa ninaishi maisha yenye usalama na uhakika. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule mwovu wala hakuna chochote kinachoweza kunidhuru. LUKA 10:19.
Kabla sijayakabidhi maisha yangu kwa Bwana Yesu, nilisumbuliwa sana na haya mashetani. Namshukuru sana Mungu Aliyeniokoa na sasa ninaishi maisha yenye usalama na uhakika. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule mwovu wala hakuna chochote kinachoweza kunidhuru. LUKA 10:19.
Umebugi mkuuMshana habari kaka
mkuu sasa kama anakojoa mimi sioni tatizo ni fursa mguu mtu unakuwa huna haja ya kuhonga ikifika usiku tu unajilia vitu vyako freeee bila stress






weeeUtakuwa umefaidiSasa ukifanya na mtu unaemfahamu
Ukifanya na mtu unaemfahamu kuna mawili.
.1. Jini amevaa sura yake kwa kuwa anajua ubamfahamu hivyo hautakuwa na hofu sana yaani amani itakutawala na huwezi kutafuta solution
2. Mungu yy mwenyewe anatumika bila kujijua kwa namna ya kichawi
Tiba: kuna namna ya kuomba na kufanya maombi kama akija usiku kufanya na wewe atashindwa nwenyewe maana nwili wako utashindwa kushikika...

Upo kama mmDah.... Ningepata jini wa kike matata sana...ambaye namgonga daily ingekuwa poa sana![]()
![]()
Dah..Kweli bana...wapi Profesa mshana jr ....? msaadaUpo kama mm
Namhitaji pia
Mzizi mkavu na Mshana Jr watusaidie
Sasa siku nyingine akirudi;mlazimishe akuoe sio kula mzigo tu wakati anagharamia mwingine.Kuna kipindi nilikua naota sana nafanya mapenzi na mwanaume simfaham na alikua mweupe na nywele ndefu zinamfunika uso,,pembeni ya kitanda walikaa wanawake wawili wanatuangalia,,nilikua naota napata raha ajabu kuna kipindi nilifululiza kumuota lakin nishaacha kuota sana kama zamani