Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Wadau hii imekaaje kwa wale wapenda michepuko, unanyumba unaishi na familia yako then labda wanasafiri una mpeleka kimada wako na una lala nae na kufanya mapenzi kwenye kitanda kile kile unacholala na mkeo.
Au upo mbali na familia kikazi lakini una chumba au nyumba na mkeo huwa anakuja kukutembelea mnakaa pamoja kwa wiki au zaidi na pale pale akiondoka unapeleka michepuko tena.
Au upo mbali na familia kikazi lakini una chumba au nyumba na mkeo huwa anakuja kukutembelea mnakaa pamoja kwa wiki au zaidi na pale pale akiondoka unapeleka michepuko tena.