Kufanya mapenzi na HIV +ve Partner

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Waheshimiwa wana JF,salaam.Naomba kuuliza mbali na kutumia kinga/condomni kipi tena inabidi kukiepuka wakati unajamiana namwana ume/mke ambaye ni HIV +ve.La mwisho je tongue kissing inaruhisiwa?kama hamnavidonda?Asanteni!
 
Unawezaje kujua km hana vidonda ndugu yangu??..avoid tongue kisses.ila duh kazi ipo...chezea shilingi kwenye....
 
Huo mtihani kwa kweli. Japo wataalamu wanasema ni possible lakini akili zao changanya na zakwako. Kwa nini msi abstain? Kwa nini mchukue risk? Si sawa kumwacha mpenzi wako sababu ni mgonjwa lakini mapenzi yasipelekee wote kuwa +ve. Endeleeni kuwa marafiki tu.
 
Level ya transmission iliyopo mdomoni ni ndogo sana. Otherwise, wewe na yeye wote muwe mna breeding wounds humo midomoni mwenu. Lakini vinginevyo probability ya maambukizo kupitia kisses huwa ni ndogo, lakini haimaanishi kwamba ni safe kwa asilimia 100. Wataalamu wanasema kiasi cha mate kinachoweza kutosha kuambukiza virusi vya ukimwi ni kama lita moja hivi. Sasa sidhani kama kwa kupigana denda utanyonya mate kiasi cha lita nzima.

La pili ni kwamba katika ngono ya kawaida tu, si lazima kwamba kila utakapolala na mwanamke au mme mwenye virusi vya ukimwi manake na wewe utapata. La hasha, unaweza kushirikiana na mwenye virusi hata bila kutumia kinga na bado usipate. Hii inategemeana na level ya maambukizi ya huyo mwenzi wako na pia kiasi cha maandalizi yaliyofanyika kabla ya kuingiliana. Kwa mfano, maandalizi yakifanyika vya kutosha na kuufanya uke kuwa na ulaini wa kutosha, probability ya maambukizi huwa ni around 2%. Hii ni ndogo sana, vinginevyo uwe unafanya fujo na si kuinjoy tendo la ndoa. Ukitumia kondom unajihakikishia usalama kwa asilimia karibu 99.7% na unakuwa na likelihood ya kuambukizwa kwa asilimia 0.3% tu. Na hii asilimia 0.3% inakuja kutokana na uvaaji mbovu wa kondom, au kununua kondom ambayo ama ipo over size au ndogo kuliko mashine yako. Pia inatokana na uwezekano wa kondom kupasuka. Lakini katika hali ya kawaida ni rahisi sana kugundua kwamba kondom imepasuka na hivyo kuweza kubadilisha nyingine.

Ukeni au manii za mwanaume huwa zina kiasi kikubwa sana cha VVU, kwa hiyo wakati wa tendo la ndoa, mwanamke anaweza kuepuka kushika manii za mmewe, na mwanamme aepuke kuingiza vidole ukeni, kwa kuwa mara nyingi vidole vyetu huwa vina michubuko. Lakini pia kwa ajili ya kuliwazana si vibaya kama mwanaume atampapasa mwenzake sehemu za nje za uke katika harakati ya kumuandaa, but aepuke kuingiza vidole ndani. Mwanamke pia aepuke kunyonya yale mambo kwa kuwa kama mme akifanya uzembe akaachia mdomoni, basi humo mnakuwa na virusi wengi sana, na risk ni kubwa. Ukitaka maelezo zaidi ni PM.
 
Msome Lukolo hapo juu,
halafu ongeza na tip hii hapa.
Avoid brushing or flossing your teeth immediately before oral sex. This reduces the risk of cuts, tears or abrasions in the mouth that can serve as an entry way for HIV
 
Level ya transmission iliyopo mdomoni ni ndogo sana. Otherwise, wewe na yeye wote muwe mna breeding wounds humo midomoni mwenu. Lakini vinginevyo probability ya maambukizo kupitia kisses huwa ni ndogo, lakini haimaanishi kwamba ni safe kwa asilimia 100. Wataalamu wanasema kiasi cha mate kinachoweza kutosha kuambukiza virusi vya ukimwi ni kama lita moja hivi. Sasa sidhani kama kwa kupigana denda utanyonya mate kiasi cha lita nzima.

La pili ni kwamba katika ngono ya kawaida tu, si lazima kwamba kila utakapolala na mwanamke au mme mwenye virusi vya ukimwi manake na wewe utapata. La hasha, unaweza kushirikiana na mwenye virusi hata bila kutumia kinga na bado usipate. Hii inategemeana na level ya maambukizi ya huyo mwenzi wako na pia kiasi cha maandalizi yaliyofanyika kabla ya kuingiliana. Kwa mfano, maandalizi yakifanyika vya kutosha na kuufanya uke kuwa na ulaini wa kutosha, probability ya maambukizi huwa ni around 2%. Hii ni ndogo sana, vinginevyo uwe unafanya fujo na si kuinjoy tendo la ndoa. Ukitumia kondom unajihakikishia usalama kwa asilimia karibu 99.7% na unakuwa na likelihood ya kuambukizwa kwa asilimia 0.3% tu. Na hii asilimia 0.3% inakuja kutokana na uvaaji mbovu wa kondom, au kununua kondom ambayo ama ipo over size au ndogo kuliko mashine yako. Pia inatokana na uwezekano wa kondom kupasuka. Lakini katika hali ya kawaida ni rahisi sana kugundua kwamba kondom imepasuka na hivyo kuweza kubadilisha nyingine.

Ukeni au manii za mwanaume huwa zina kiasi kikubwa sana cha VVU, kwa hiyo wakati wa tendo la ndoa, mwanamke anaweza kuepuka kushika manii za mmewe, na mwanamme aepuke kuingiza vidole ukeni, kwa kuwa mara nyingi vidole vyetu huwa vina michubuko. Lakini pia kwa ajili ya kuliwazana si vibaya kama mwanaume atampapasa mwenzake sehemu za nje za uke katika harakati ya kumuandaa, but aepuke kuingiza vidole ndani. Mwanamke pia aepuke kunyonya yale mambo kwa kuwa kama mme akifanya uzembe akaachia mdomoni, basi humo mnakuwa na virusi wengi sana, na risk ni kubwa. Ukitaka maelezo zaidi ni PM.

Nakubalina nawe Lukolo kwa 100%...si kila mwanaume akikutana na mwanamke mwenye HIV basi naye anapata hapo hapo, ila...you cant predict kuwa utapata baada ya mechia ya kwanza, ya pili, ya tatu....kila mechi una possibility ya kumabukizwa japo si 100%! CONDOM ni kinga ya kuvaliwa wakati wote. Inashauriwa mpime mjue status, hata ikiwa -ve bado mtumie condom...sasa sembuse +ve na bado unatafuta uwezekano wa kutotumia condom?! Kam ni muhimu mnataka kuzaa basi fanyeni In-Vitro-Fertlization (IVF) ambapo yai la kike linarutubishwa bila mbegu za mwanaume bila kujamiiana.

Kuan couple nilishadeall nayo walikuwa mwanamke +ve na mwanaume -ve....hawakutumia condom, na eventually mwanaume naye akawa +ve!
 
Asanteni sana Lukolo,ELia ,Dr.Riwa na wengine wote on top ikiwapo JF
This is the way you/we Tanzanians can show love to people who have no means za kuwafikia wataalamu na Dr. nilipo hapa ni kazi,watu wamejitolea na kuyaacha maisha/life mikononi mwa mungu. Its sad hapa nilipo ukipata magonjwa ya hatari saa 1 usiku count yourself dead. Maana tractor linalokuja hapa linatoka abt 150Km la muarabu kuja kuchukua mazao-hapa ndio TZ haswa!

Tunajifunza ili tukiwa tunaulizwa hz sehemu zisizofikiwa na ma Dr. wala hospitali na wao wanajua ulikwenda kusoma chuo cha ufundi halafu huwezi kujibu swali,wanakushangaa shule gani,maana hawajui kuna Ma.Dr. waalimu etc wanajua ukisoma lazima ujue kila kitu, sasa hapa nakwenda kuwamwagia elimu,uwepo wa JF unatusaidia sana kuwapata watu kama nyinyi ambao kwa hapa nyumbani ni shughuli kuwapata/kuwaona hata kama uko DSM City.
Lukolo nashukuru nitakuja na maswali mengine.:clap2:
Maana wananitayarishia kama bungeni,mengine nina majibu,nikichemsha ndio narudi jukwaani.
Wanatamani kuishi kama watu wengine lkn ndio hivyo hawakuwa na bahati!
Regards,
RE.
 
Bila shaka mkuu. Karibu sana.
 
nimeyaona madhara ya ukimwi hadi natetemeka unaposema kufanya mapenzi na mtu unayefahamu kabisa kwamba ameathirika. mimi nakushauri kuepuka kabisa na kama unataka kuishi kuacha kabisa ngono. ipo faida kuliko hasara. ni maumivu makubwa mno
 
Level ya transmission iliyopo mdomoni ni ndogo sana. Otherwise, wewe na yeye wote muwe mna breeding wounds humo midomoni mwenu. Lakini vinginevyo probability ya maambukizo kupitia kisses huwa ni ndogo, lakini haimaanishi kwamba ni safe kwa asilimia 100. Wataalamu wanasema kiasi cha mate kinachoweza kutosha kuambukiza virusi vya ukimwi ni kama lita moja hivi. Sasa sidhani kama kwa kupigana denda utanyonya mate kiasi cha lita nzima.

La pili ni kwamba katika ngono ya kawaida tu, si lazima kwamba kila utakapolala na mwanamke au mme mwenye virusi vya ukimwi manake na wewe utapata. La hasha, unaweza kushirikiana na mwenye virusi hata bila kutumia kinga na bado usipate. Hii inategemeana na level ya maambukizi ya huyo mwenzi wako na pia kiasi cha maandalizi yaliyofanyika kabla ya kuingiliana. Kwa mfano, maandalizi yakifanyika vya kutosha na kuufanya uke kuwa na ulaini wa kutosha, probability ya maambukizi huwa ni around 2%. Hii ni ndogo sana, vinginevyo uwe unafanya fujo na si kuinjoy tendo la ndoa. Ukitumia kondom unajihakikishia usalama kwa asilimia karibu 99.7% na unakuwa na likelihood ya kuambukizwa kwa asilimia 0.3% tu. Na hii asilimia 0.3% inakuja kutokana na uvaaji mbovu wa kondom, au kununua kondom ambayo ama ipo over size au ndogo kuliko mashine yako. Pia inatokana na uwezekano wa kondom kupasuka. Lakini katika hali ya kawaida ni rahisi sana kugundua kwamba kondom imepasuka na hivyo kuweza kubadilisha nyingine.

Ukeni au manii za mwanaume huwa zina kiasi kikubwa sana cha VVU, kwa hiyo wakati wa tendo la ndoa, mwanamke anaweza kuepuka kushika manii za mmewe, na mwanamme aepuke kuingiza vidole ukeni, kwa kuwa mara nyingi vidole vyetu huwa vina michubuko. Lakini pia kwa ajili ya kuliwazana si vibaya kama mwanaume atampapasa mwenzake sehemu za nje za uke katika harakati ya kumuandaa, but aepuke kuingiza vidole ndani. Mwanamke pia aepuke kunyonya yale mambo kwa kuwa kama mme akifanya uzembe akaachia mdomoni, basi humo mnakuwa na virusi wengi sana, na risk ni kubwa. Ukitaka maelezo zaidi ni PM.

mmmmmmh maelezo yako yana utata kidogi ila poa
 
Duu nimepata shule nzuri kutoka kwenye uzi huu, asante mleta uzi na wachangiaji.
 
HILI SUALA NI GUMU SANA!!! mmi mwenyewe kuna demu ninae hapa ananing'ang'ania kweli wakati najua yuko +ve hadi siku moja nilijaribiwa nae kufanya japo nilitumia condom lakini anazidisha kunitega japo simpendi ila nadhan ni kampeni yake kuniambukiza UKIMWI so,,,, labda nijitahidi kutumia CONDOM mbilimbili ni case akinitega maana maisha magumu sana kujizuia huku mwanamke anakubembeleza kwa jitihada zake hadi kuhonga.
 
Aisee we jamaa una hatari sana
 
Back
Top Bottom