Piga punyeto mkuu, hamna namna.Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku amechoka kila siku akilala hataki aguswe. Mpaka nimekata tamaa sana sana kwa mwaka nampata mara nne au tatu. Namshawishi kila namna kwa kila maneno lakini ni balaa tupu. Mpaka huwa nawaza kwa nini nilioa na kufunga naye ndoa. Kuna kipindi nakata tamaa naendelea kumuomba mungu anisaidie.
Msaada wenu!!
Ngoja nikomae naye. Ni ukweli...kila kitu anapata!! Job namupitisha kila tuendapo job. Jioni namptia kama sijatingwa.....anavaa vizur,saloon anaenda. Kwa ujumla ni msalaba....mke mzuri lakini ndo hivyo nataabika...mke wa dizaini hyo dizaini hyo dawa yake ni kumuolea mke wa pili tu.tena mtoto wa kitanga mbichiiiiii.Kikawaida gemu inatakiwa angalau kwa wiki mara mbili na hyo ni minimum.kama kuna ukweli kwenye hii hadithi yako bas pole sana.kwanza inawezekanaje kuwa na mwanamke mwenye jeuri kiasi hicho cha kugoma kukupa huduma yako ya kikatiba?.hebu kaza msuli mtoto wakiume mweke chini akueleze tatizo ni nini.akizingua mpe likizo kwanza arudi kwao
Mkuu unafaa kuwa padri, umemshauri vizuri kama hawezi hilo basi apige punyeto.[emoji27]itisha kikao cha wazazi wapande zote mbili waje wamuulize huenda akawa na tatizo kubwa, usichukulie mzaha hilo swala.
Ha ha h,,, toxic majangaaaPiga punyeto mkuu, hamna namna.