Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,594
- 55,744
Kuna ka ukweli kwenye hili. Wenzetu kwa maumbo yao yalivyo. Wanaweza kusubir hadi ndoaTatizo lipo kwa wanawake...mwanaume unaweza ukawa unamsubiri mwanamke pengine hadi NDOA...lakini kumbe kuna KIDUME kinamtafuna...kuna jamaa yng mmoja alikuwa na mchumba wake...wakapanga akimaliza chuo ndiyo wataoana...kilichofata mwanamke alirudi na mimba kubwa tu chuo....jamaa analia hadi leo