Kufanya mapenzi kabla ama baada ya Ndoa, kipi bora?

Kufanya mapenzi kabla ama baada ya Ndoa, kipi bora?

Mungu anaxema tuoane wote mabikira ukioa mwanamke aliye bikiriwa sio mmeo mke wa mtu kwani demu anavyo bikirwa damu inavyo Mara uume unavyo ingie ile damu mungu ndo anaichukua nakubariki name atakuwa ameorewa tayari mwanaume anaye mubikiri demu tayari akuwa ameowa kwahiyo kama umeoa used hujawai kumubikiri mwanamke yyote wewe bado hujaoa
Mhhh...mkuu ipo mstari gan nikafungue nisome haraka
 
Wadada wa humu jf embu mniambie kuna ukweli katika hili??
Kwamba mwanaume anaanza na wewe relationship haalaf anataka sex unampa then anatangaza ndoa ndo unamuelewa, lakin yule ambae mmependana mkaahdiana ndoa na pia sex had honeymoon unakua humuelewi,na hatimaye unamuacha, does it make any sense?
Nuh doesn't make any sense
 
Mapenzi kabla ya ndoa muhimu, yanakusaidia kujua mwenzako yukoje? Unamhimili vizuri? Je ukiwa naye utafurahia maisha yote? Je anajua mambo? Sio unaoa halafu mwisho wa cku unakutana na kitu ambacho hakikuwa matarajio yako. We ni teksi umepita njia ya trekta. Utajuta nakwambia
Mkuu mbona vitu vingine ni vya kufundishana, na vingine vinapona tu,
je mapenz ya kweli.yanaamgalia hayo, kuhimili gemu ama kufurahia gemu? Hata kama mwenzio umemkuta na mapungufu, hivi kuna kisichowezekana chini ya jua? .

Anyway nakumbuka.stor moja ya kweli,,wanandoa wawili kumbe nao walijitunza hadi ndoa, lakini kumbe mwnaaume ana tatizo la kijinsia, sasa siku moja bibie amekaa na rafik zake wnaaongea katika kuongea waka notice mwenzao hayuko sawa

katika kumuuliza ndo ikabid awaambie ukwel lengo kuona rafik zake watamsaidia kwa lipi ili amsaidie mume wake, rafik zake wakamcheka sana na kumdhihaki wakamwambia atafute kijeba mwingine wa kumridhisha awe nae tu wa kumridhisha kingono,

badae yule dada alifikiria badae akawapuuza akaamua aanze kutafuta solution mwenyewe sometimes akawa anamshirikisha na mumewe mana alikua muwazi kwake alimwambia kwamba ana shida ya jinsia nguvu za kiume ni pungufu, bidada kaja kafanikiwa, na mume akapona,

wale rafk zake bidada kama wakaanza ku notice mabadliko ya rafik yao, mara anacheka cheka tu mara anafurah mda wote, kila saa anamsifia mumewe,badae wkaaanza kujipendekeza kwa mume wa yule mwnaamke, mara shemeji leo umependeza, mwnaamke kuona hivo akawapiga marufuku [emoji3]
 
1)sex kabla ya ndoa ni good coz at mkiachan hutopata stress kwamba unalea kuku then huli nyama
Kwaio kitendo cha kulea kuku then huli nyama ndo hua kinauma mkuu eeh, na alieachwa anaumia sana na alieacha anajiona top of the world sio!!..
meaning that mapenzi yenu yalikua based on sex, ama vipi? Sio true love

Ama ni ile unaumia kwanza sababu umempoteza mtu muhim ktk maisha yako halaf pia ile ku imagine kwamba "mtu" mwingine atafaidi kitu ambacho wewe hujawahi kufaidi
 
Dunia ina mengi ndugu yangu. Yahitaji mkono wa Mungu kuvuka.
Ukisema unasubiri hadi ndoa utakuwa umeonekana muaminifu na watu watawapongeza. Lakini ukikuta umeingia kwenye ndoa na ukakuta kuna tatizo au upungufu fulani utaanza kujilaumu. Hii ndo husababisha mafarakano ya ndoa na uchepukaji. Fikiri mwanamke anakuja gundua mmewe hana nguvu za kiume na ameshaolewa inakuwaje??? Na watu waliowapongeza ndo wanaanza kulaumu kwa nn hukujaribu kabla ya kuingia ndoani??
Tumuombe Mungu sana wapendwa. Mfumo wa maisha waweza kufanya uyatende usiyokusudia.
Daah kwaio katika hili tunavukaje ndugu yangu??
 
Jamn zinaaa ni katika madhambi makubwa na yenye kurithika..ukizini na zinaa itaingia nyumbani kwako iwe kwa mama ako,dada zako,mtoto wako au hata mkeo..na msismeme zinaa inasaidia kujuana,kama mwanaume unajua huna nguvu kwa nn unaoa at first place?!!!..jitibu kwanza..bikra ni kitu kimethaminika sana katka uislam na mwenyezi Mungu amewatukuza sana mabikra katka Quran..na ndio maana wanaume watakaoipata pepo watapewa wanawake bikra kila wakiwaingilia bikra inarudi tena..mentality ya uzinzi ni mbaya sana na muandae majibu ya kumjibu Mungu kuhusu hao watoto wa nje ya ndoa au mimba zinazotolewa kukwepa aibu kwamba ulizini na hujaolewa.
Wanasema eti shake well.before use..
Kwakwel mimi kwa upande kwa.hilo ulilolisema naona pia ni vema kila mtu akawa muwazi kwa mwenzie, kwamba mimi nna shida hii na hii, na kama kweli mnapendana mtafute solution pamoja,,whatever the case mko nje ya ndoa ama ndan ya ndoa ..muhim tu ile dhambi ya zinaa msiifanye.
 
Unajua ndoa nyingi zinaharibika kutokana na watu kutoridhika kwenye tendo msingi ni sex be4 mkiona kwamba hamkunani vzr bas unaacha mtu afunge ndoa na mtu atakaemtimizia haja zake
Mkuu ishu ya kukunana vizur hayo mambo yanafundishika na kuna hata proffesional counselors yan inakua kama somo na zaid kuna CD kabisa za mafundisho ya tendo la ndoa, sio hizi za porn zilizozoeleka za watu wanamezeshwa midawa
yan umuache mtu kisa hakukuni vizuri was there love based on sex
 
◆Kulingana na mtazamo na msimamo wa BIBLIA

◆ Iwe asubuhi, mchana, jioni au Usiku...na iwe masika, kiangazi, vuli au kipupwe:-

SEX BEFORE MARRIAGE IS A SIN BEFORE ALMIGHTY GOD.

Biblia haikuwahi kubadilika katika hilo na itabaki hivyohivyo Mjomba !!!!

Ila ni KUTOAMINIANA (mfano kuhisi mwenzio hana uwezo wa kushika mimba au Mwanaume hana uwezo wa kufanya tendo hilo au kuridhisha) ndio inapelekea kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

Pia influence ya ndugu, jamaa,marafiki na hata Wazazi wa sikuhizi inachangia

Lakini kumbuka zamani wanandoa walioana na kuvumiliana hata kwa miaka mi5 ndio wanafanikiwa kupata mtoto na haikuwa mada au matangazo mitaani.

Ndio dunia yetu yakhee.

Tupe kifungu hicho cha Biblia kinachosema hivyo.
 
Ni kwasababu ya ugumu wa mioyo yetu sisi wanadamu wa kike na wa kiume. Pia siki hizi uaminifu umekuwa chini sana. Utakuta mwanamke mpaka anamaliza chuo na kuanza kazi ametoa mimba kama sita na kuendelea akikaribia umri wa kuolewa ndio anajifanya kuhudhuria kanisani,kila idara yeye yupo. Kila kipindi yupo. Akitokea mtu anamwambia hakuna kuduu mpaka ndoa. Sasa nani atakuamink kama utakuja kuzaa mbeleni? mie sio Mungu.
Watu siku hizi tunajikuta tunaangukiw ktkt majaribu ya kutest mpaka tuone ujauzito kwa sababu watu siku hiz wamebadirika na kuharibika.
 
Tupe kifungu hicho cha Biblia kinachosema hivyo.
Unahitaji kifungu kinachokuambia moja kwa moja kuwa usisex kabla ya Ndoa?

Hata hivyo nilicho na uhakika nacho ni kuwa Biblia imepinga UASHERATI NA UZINZI na kuviita kuwa ni Dhambi.

UASHERATI ni kitendo cha kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

UZINZI ni kitendo cha kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu

Hivyo kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni UASHERATI ambao ni dhambi.
 
Back
Top Bottom