#uzoefu wakazi na ujuzi naona kama niswali moja _ujuzi wangu ufundi alluminium.1- Unaujuzi gani?
2- Unauzoefu ama unauwezo wa kufanya kazi gani?
3- Una umri gani?
4- Una akiba ya pesa kiasi gani?
Ohhhh....#uzoefu wakazi na ujuzi naona kama niswali moja _ujuzi wangu ufundi alluminium.
Kuhusu akiba sijaelewa swali linalenga akiba yamtindo gani (yan akiba pesa yakumpa mtu anifanyie hizo process ama akiba pesa itakayo nisaidia baada yakufika huko..?)
_umri kijana under 30
Lengo langu nikufika huko nakufanya kazi. Sitaki kwenda kama mtalii wala kwenda kama mwanafunzi mana hivyo vigezo vyote sina (sina pesa wala sio msomi ).
Kazi zipo nyingi mkuu kuna kubeba boxi kutunza wazee ulinzi kwenye casino kwenye migahawa
Kwa marekani Atlanta pale Kuna kazi hizo nilizo taja pitia dar mpaka doha afu Doha mpaka Atlanta ni route rafiki na sio bei saaana ni kama milioni 2,885,493 kwa Qatar airways
So naomba mnifungue ubongo ili nijue wapi naanzia .
Ubalozini kwao pale mbona wanakupa kwa wakatiVisa ya marekani sikuhizi ni kama almasi.
Nilizani anayo visa mkuu kumbe Hana basi afanye mipango apateNa aondoke kwenda US kwa visa ipi?
Maana kama hana visa inayoeleweka, safari yake itaishia Doha akikutana na screening officers airport...
Naunga mkono hojaSasa huna pesa, utafikaje nchi za watu?
Passport, visa, nauli, kujikimu vyote hivi vinahitaji uwe na pesa zako...
Atafute akipata aendeJamaa kasema hana hela kabisa, watampaje sasa?