Hii ndio shughuli ya TANESCO!

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,412
203
Jana nikiwa napita maeneo ya Ubungo na family yangu, mwanangu mwenye umri wa miaka 6 aliliona jengo la TANESCO na maandishi makubwa "TANESCO" akaniuliza: "Baba, kumbe pale ndio TANESCO?" Nikamwambia: Ndio, pale ni makao makuu ya TANESCO" Akaendelea: "Kwa hiyo pale ndio wanapokata umeme?". Nikacheka sana. Kwa hiyo yeye kwa mtazamo wake kazi ya TANESCO ni kukata umeme na sio kuzalisha umeme. Bila shaka fikra hizi zimejengeka kutokana na kusikia watu wakiwalalamikia TANESCO kwa kukata umeme mara kwa mara.
 
An Englishman came to Tanzania and tried to learn Kiswahili...when he was about to return to his homeland, he was asked how much he had learnt. All he knew was....."Hakuna umeme"" Umeme imerudi" Umeme itaondoka" Umeme bado" Kwa nini haijarudi?"Umeme imerudi na imeondoka" Umeme itarudi saa ngapi?"

Kwa hiyop naomba usimshangae mwanao....Nidiyo Tanesco=Tanzania No Electricity Supplying Company:mwaaah:
 
Back
Top Bottom