wewe ndio wale KAMLETE hua hamjui machungu ya kutafuta kazi.
We acha woga maisha popote niga popote tunatimba tunasakaga mapemeWakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.
Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha woga maisha popote niga popote tunatimba tunasakaga mapeme
Niga from Timbuktu
Mm nimekulia mby si pahala pabaya ni pazuri watu wake ni wachangamfu am sure utapapenda kila la kheriAsanteni wote mnaonielekeza na kunijibu bila kejeli au kunishushua. Mbarikiwe sana, nashukuru. Inabidi tu niende Mbeya mmenipa moyo. Ngoja nikaanze maisha mapya. Thanks alot watanzania wenzangu wenye upendo na ustaarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa specific ili ueleweke sio unaandika jumla jumla kwa hiyo Blood Pressure (BP) ziko nyingi kule?
karibu karibu mbeya...huu mkoa wkt napangiwa kwa mara ya kwanza 2015 nilichukia sana..ila baada ya kuja aisee...sijutii kwa Kweli..maisha ni simle..km ni mfanyakazi ku SAVE hela ni uhakika km huna mambo mengi..sasa hv wenzangu waliopangiwa DSM wananionea WIVU tu wakija kunitembeleaWakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.
Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha woga maisha popote niga popote tunatimba tunasakaga mapeme
Niga from Timbuktu
Nenda mwaya ni pazuri sana hewa safi si kama Dar huko hewa ya kuviziana, usalama upo wa kutosha stories za watu zisikutishe.
Misosi ndyo mpaka utasaza bei chee, ila kama umepata kijijini duh, kama Kule kijijini kwetu ni balaa, nyama nk zinapatikana msimu wa sikukuu pekee mfano Saba Saba,ila siku za kawaida ni mpaka ufunge safari kufata mabucha yalipo nauli buku 3 or 4 bodaboda, so tunatumia vegetables kwa wingi.
Na mzunguko wa fedha kiukweli siyo mkubwa kihivyo ukilinganisha na Dar, sababu vitu cheap hasa upande wa vyakula coz wenyeji ni wakulima so vitu vingi wanatoa shambani kwao, so usitegemee utafungua genge mfano mboga na matunda utegemee utauza sanaa.
Hela yako haitotumika sana so unaweza save for future plans. Karibuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimependa sura yakonime
nimependa msimamo wako
Fustration za umasikini wako usimrushie mwingine.Yaani wewe mpuuzi sana, sijui umepataje hiyo ajira. Hizo pesa zinazozunguka hapa Dar zinazunguka mifukoni mwako au waziona juu tu zikipita? Kama kuna mzunguko mkubwa mbona umeenda kuomba ajira? Acha kazi, wachukue wenye uhitaji.
Itakua ulikuja mbeya na vindagu vyako ukakutana na wakinga wakakunyosha. Mbeya unakaa iziwa au ghana unategemea sa2 wawe macho. We ulikuja mbeya kwa shemeji yako iganzo uko alikoolewa dada yako. Mbeya hakuna kulala kuanzia carnivore citypub soweto mbeya pazuri kote watu hawalaliMbeya utaambulia kupigwa nondo au kulogwa, jiji gan ikifika saa 2 usiku watu wote wamejifungia ndani mjini hakuna mtu, Mbeya sio mji wa kuishi , uchawi kila kona, vibaka kila kona, bora ubaki dar uuze mchicha.
Msimamizi wa mabamedi wanaitwa matron. Kwa mdomo wake ulivyomchafu lazima ni matron wa bar kama sio barmedHivi kwanza hiyo kazi ni kazi gani unayopewa uchague Mbeya au Dar? Nimesoma post zako humu ndilo swali la kwanza nililojiuliza - utakuwa unafanya kazi gani kwa profiling niliyokufanya. Tayari nina picha fulani.
Mbeya nzima sehemu za kula bata 3 tu.Itakua ulikuja mbeya na vindagu vyako ukakutana na wakinga wakakunyosha. Mbeya unakaa iziwa au ghana unategemea sa2 wawe macho. We ulikuja mbeya kwa shemeji yako iganzo uko alikoolewa dada yako. Mbeya hakuna kulala kuanzia carnivore citypub soweto mbeya pazuri kote watu hawalali
Asante mkuu nitakaribia
Kwanini mkuu kwani ni wote tunafanya kazi sehemu mmoja Kama vile halimashauriMkuu wewe mbeya,mwanza,dar hata sielewi ni mwenyeji wa wap
Umenielewa vibaya nadhaniKwanini mkuu kwani ni wote tunafanya kazi sehemu mmoja Kama vile halimashauri