Kufanya kazi bila kuwa na mkataba wa ajira

James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,700
1,754
Naomba msaada juu ya jinsi sheria yetu ya Tanzania inavyowazungumzia wafanyakazi ambao wanafanya kazi bila kuwa na mkataba wa ajira.

Je wanapokuwa dismissed wanaweza kudai haki zao?

Msaada wa vifungu vya sheria pia kwa mtakaokuwa mnajibu.

Na pia kama kuna case ambayo imeshawahi tolewa maamuzi juu ya snerio kama hiyo, nayo naomba niijue

Asante.
 
Hata mimi nasubiri jibu hili mkuu.
Na hasa kama MTU alikuwa na mkataba ukaisha ila anaendelea kufanya kazi bila kupewa mkataba mpya,je hapo ni VIP.
 
Achana na mambo ya kuibiwa, hii ni assignment yangu chuo mkuu
Yani kwa usomaji huu utahitimu cheti. Maarifa na umahili vitakupita mbali. Soma vitabu hacha uvivu..nyinyi ndio mnaotia aibu mkipewa kazi.
 
Ukweli uwa haupindi. Huo usomaji wa mwanafunzi wa sheria anayetafuta umahili katika fani. Go east go west sheria Kwa usomaji huo utahitimu cheti na sio maarifa
Ww.. who told you kwamba mimi ni mwanafunzi wa sheria???

kwa hiyo kama ni assignment basi mm nakuwa mwanafunzi wa sheria???

Kwa hiyo only wanaosoma faculty ya Law ndio wanasoma sheria faculty zingine hawasomi???

Acha kutengeneza snerio zako mwenyewe aseee
 
Back
Top Bottom