Kufanya kazi Bandari au TRA?

Kufanya kazi Bandari au TRA?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Wadau,
naombeni mumshauri mdogo wangu anayefanyakazi bandari amepata kazi TRA.

Kilichofanya aombe kazi bandari ni baada ya Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi mambo yalikuwa mabaya sana bandarini ila hivi sasa Mwakyembe kaondolewa. Je, abaki bandari au aende tu TRA?
 
Hee huyo mdogo wako ---- sana amebania nafasi ya kijana asiye na ajira coz ana kazi nzuri na anaaply kaz tena damn it.
 
bandari alikuwa post gani na TRA kapata post gani?nijibu hapa ili nikupe ushauri
 
Wadau,
naombeni mumshauri mdogo wangu anayefanyakazi bandari amepata kazi TRA.

Kilichofanya aombe kazi bandari ni baada ya Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi mambo yalikuwa mabaya sana bandarini ila hivi sasa Mwakyembe kaondolewa. Je, abaki bandari au aende tu TRA?

ina maana tra washaita ofcn tayari?au unaturusha roho tu
 
Wadau,
naombeni mumshauri mdogo wangu anayefanyakazi bandari amepata kazi TRA.

Kilichofanya aombe kazi bandari ni baada ya Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi mambo yalikuwa mabaya sana bandarini ila hivi sasa Mwakyembe kaondolewa. Je, abaki bandari au aende tu TRA?

Huyo mdogo wako amepata lini kazi TRA?ni zile post za mwezi wa 12?wameshaita?
Ningemshauri aende TRA kama ameitwa kwa nafasi ya ACO,ila kama ni ATO abaki bandari!
 
yule pale rafiki mnafiki, nasema yule pale rafiki mnafiki by msaga sumu.
 
Wadau,
naombeni mumshauri mdogo wangu anayefanyakazi bandari amepata kazi TRA.

Kilichofanya aombe kazi bandari ni baada ya Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi mambo yalikuwa mabaya sana bandarini ila hivi sasa Mwakyembe kaondolewa. Je, abaki bandari au aende tu TRA?

huyu kiumbe atakua na matatizo ya akili.
 
Anaweza kuonda lkn afate utaratibu wa utumishi wa umma maana moja ya taaratibu za utumishi wa umma ni kutoruhusu wafanyakaji wenye vyeo vidogo kuhama au kuomba kazi kwingine''Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.'' Document Details | TANGAZO 23 Jan. 2015 (Kiswahili)
 
uko sawa lakini kama tangazo linavyosema "watumishi wa umma" hii inawahusu wale walioko serikali kuu hasa mawizarani na tamisemi lakini kwa walioko kwenye mashirika ya umma sidhani kama hii iko applicable coz naona ni watu wengi tu wanahama kwenye shirika moja hadi jingine kila mara...mfano NSSF kwenda PSPF,TRA,nk.
 
Huyo supu ya mawe ni mzushi..... Msipoteze mda wenu hapo

Huyu jamaa ana mada nyingi.kusema ukweli Mwakyembe akubadilisha mambo ya mapato ya watu binafsi mpaka mtu ahame labda kama alikuwa mwizi.Ndo kwanzaaaa mshahara unaongezwa.
 
huyo supu ya mawe anapenda sana kujionesha kuwa ni wa hadhi ya juu,mara bandari,mara tra
 
Back
Top Bottom