Kufahamu kuhusu makengeza, yanatibika?

Kufahamu kuhusu makengeza, yanatibika?

Joined
Jun 6, 2019
Posts
49
Reaction score
24
Habar wana JF nilikuwa nahitaji kufahamu na kupewa taaluma juu ya mtu mwenye makengeza yanatibika! Na tiba yake ipoje? Na je huyo mtu anaweza akawarithisha na watoto wake?
 
Kwahiyo utanisaidia au utaendelea kunisimanga
Achana nao...humu kuna wajuzi waji ga wakutosha!
Hali hiyo inatibika...nenda Kwa Wataam watakiambia ...Mimi ni shahid,ni kwa kuwa tu humu tunajificha ningekupa ushahidi huo live!
Kama upo Dar ,nenda Muhimbili
 
Asante
 
Makengeza yanatibika kwa Operation, mimi nilifanya operation CCBRT. Kekengeza lilikuwa 75 now lipo 18. Kuna mazoezi nafanya kwa ajili ya kupunguza hiyo 18.
 
Back
Top Bottom