Naomba kuuliza je, kuna madhara yeyote kiafya kwa mtu /watu /watoto watakao lala chumba kimoja na piki-piki (boda-boda) iliyojazwa petrol kama Yale ya mkaa huku madirisha yakiwa yamefungwa !?
Kichwa cha Habari hakihusiani na mada kabisa. Anyway, kama utaiacha pikipiki inawaka (silencer) kuna uwezekano huo. Kesi ambayo nimewahi kuisikia ni ya jenereta, liliwashwa wakaliweka ndani ili lisiibiwe lakini familia nzima iliteketea.