Hao jamaa wanazingua
Naomba title ya thread ibadilike iwe 'Kunya Kunyanyuana' badala ya Kufa Kufaana!
Nimecheka sana!
You made myday! at least umepunguza stress zangu!
Kweli JF never bored!
Usiombe kuwa sambamba nao katika foleni... Uki fume kwa harufu wakikuona utasikia "Kwani asubuhi hujakwenda?"
umejuaje !!!!!!!!!!!! ha ha haaaaaaaaaaaUsiombe kuwa sambamba nao katika foleni... Uki fume kwa harufu wakikuona utasikia "Kwani asubuhi hujakwenda?"
Naomba title ya thread ibadilike iwe 'Kunya Kunyanyuana' badala ya Kufa Kufaana!