Kufa kufaana

Kufa kufaana

Acha wajinywee... wakitoka hapo chakali wanapanda bodaboda zao wanagongwe mchezo unaisha...
 
Hapo hakuna kuchagua. Akitoka hapo kesho anachimba shimo lianguke la Konyagi ili atoe lock. Kukaa karibu na mlima barabarani rahaaaaaa yaani mpaka basiii. Tunajifaidia mengi sana, tangu fidia ya Magufuli mpaka vya wenye ajaliiii. Yaani we acha tu. Hii ndo roho ilowaingia vijana leo
 
hapo unakuta mtu anamix safari+kili+castle
 
Huyo mzee mwenye kofia inaonyesha hajanywa bia siku nyingi. Ana kiu sana.
 
Back
Top Bottom