Kuexpire kwa simcard ya TIGO

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
846
432
Ni sababu gani zinazosababisha laini kuexpire? Kwa nini TIGO hawakoclear kueleza laini zao zinaexpire baada ya muda gani, ili mtu ujue kabla, kwani kuna wakati laini inaweza kuharibika ukiwa unahitaji kufanya mawasiliano ya muhimu na kwa muda huo.

Mimi nimerenew simcard kwa mara ya pili sasa ndani ya miaka miwili wakati simcard ya VODA hajaiwahi kuexpire na huu ni mwaka wa tano tangu nianze kuitumia.

Whats wrong with Tigo??
 
...hii kampuni inalalamikiwa kila kukicha!lakini pia kila kukicha watu wapya wanajiunga...ni kwamba pia tigo inapendwa au?
ndugu iyo ni kweli na ukifika wanakwambia tu "inabidi ubadili simcard yako"...tatizo?..."huwa inatokeaga tu ivyo"....alaaah!bito imejaa jameni njoni huku!
 
Hamia eyateli, wewe jamaa na marafiki zako. Au hamia vodakomu mtandao wenye gharama nafuu tanzaniya!
 

.........kama haitoshi unaambiwa ulipie laini mpya..........mimi nimerenew 2,000 kwa wakala wao!INAKERA SAANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…