Sasa inakuwaje wanawalaumu wanaume kiasi mpaka mtu unatamani uhusiano uishe tu...
Hofu ya wengine ni kwamba eti wakipigwa tongozo wao ile mzuka ya mambo yetu inaslow down?
Mkuu wanawake hawajui wanachokitaka. Wanawalalamikia wanaume waliokuwa nao, wakiachwa wanalia na kuwakumbuka.