1st AID
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 1,079
- 523
Wanajamvi Salaam
Nimekuwa nikisoma na kusikiliza mamalamiko mengi toka kwa wanawake wakiwalaumu wanaume kwa kila baya katika mahusiano kwamba linasababishwa hasa na wanaume! cheating eti wengi wanaume.
Kuna msemo ....jambo likiwa sababu ya kukwazika kwako, bora kuachana nalo. Mnaonaje wanaume tukiacha kutongoza na kuanzia sasa wanawake wao ndio wawe watongozaji! yaani unapigwa tongozo mpaka unaridhia (kama western).... Si wanadai haki sawa!