goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,417
- 2,356
Ama kweli malipo ni hapa hapa tunapoishi. Nikikumbuka tambo za mh Lugola na nikilinganisha alivyotumbuliwa kwa aibu kubwa siyaamini macho yangu.
Lugola katika uongozi wake ndani ya wizara ya mambo ya ndani amejijengea uadui mkubwa sana kwa aliyokuwa akiwaongoza. Alijisahau kabisa kuwa cheo ni dhamana especially hivi vyeo visivyo na ujuzi (kuteuiliwa na kuchagjliwa).
Lugola alimdhalilisha sana mkuu wa Magereza wa wakati huo kisa tu kachelewa kwenye kikao chake. Tena hakuchelewa sana kwani alifika hata kabla kikao hakijaanza.
Lugola ameadharirisha sana viongozi wa polisi hasa RPC na RTO kwa kuamuru kuhamishwa kwa malalamiko ambayo hata hakuyafanyia uchunguzi.
Mpaka sasa kuna viongizi wengj wa polisi wamesimamishwa kazi kwa amri ya Lugola na familia zao zinateseka pasipo sababu ya msingi.
Lugola alishindwa kabisa kuwa na solidarity na aliyokuwa akiwaongoza na hakutaka majadiliana na waliyoko chini yake ambao wao ndiyo wanajua kwa kina kazi husika yani kazi ya magereza, uhamiaji, polisi, zimamoto na hata NIDA
Kwa jimbo la Lugola (Mwibara), ilikuwa ni halali kwa mwananchi wa mwibara kutenda kosa lolote la jinai. Ikitokea ukamkamata na malalamiko yakamfikia Lugola utahamishwa ndani ya muda mfupi. Lengo ni kulinda kura zake na siyo kutokemeza uhalifu kwa mujibu wa madaraka aliyokuwa nayo. Jinai kwa jimbo la Luhora ilikuwa ni halali.
Alipigania kwa kila hali kulinda kula zake 2020 lakini imekuwa kinyume chake. Ogopa sana machozi ya mtu anaeonewa. Kwani halii peke yake bali hulia na ukoo wake.
HESHIMU ALIYE CHINI YAKO UTAHESHIMIWA NA WATU WOTE.
MUNGU MBALIKI SAAAAAANA JPM.
Sent using Jamii Forums mobile app