Kuenguliwa kwa Kangi Lugola na funzo la 'Heshimu aliye chini yako utaheshimiwa na watu wote'

goggles

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,428
2,000
Ama kweli malipo ni hapa hapa tunapoishi. Nikikumbuka tambo za mh Lugola na nikilinganisha alivyotumbuliwa kwa aibu kubwa siyaamini macho yangu.

Lugola katika uongozi wake ndani ya wizara ya mambo ya ndani amejijengea uadui mkubwa sana kwa aliyokuwa akiwaongoza. Alijisahau kabisa kuwa cheo ni dhamana especially hivi vyeo visivyo na ujuzi (kuteuiliwa na kuchagjliwa).

Lugola alimdhalilisha sana mkuu wa Magereza wa wakati huo kisa tu kachelewa kwenye kikao chake. Tena hakuchelewa sana kwani alifika hata kabla kikao hakijaanza.

Lugola ameadharirisha sana viongozi wa polisi hasa RPC na RTO kwa kuamuru kuhamishwa kwa malalamiko ambayo hata hakuyafanyia uchunguzi.

Mpaka sasa kuna viongizi wengj wa polisi wamesimamishwa kazi kwa amri ya Lugola na familia zao zinateseka pasipo sababu ya msingi.

Lugola alishindwa kabisa kuwa na solidarity na aliyokuwa akiwaongoza na hakutaka majadiliana na waliyoko chini yake ambao wao ndiyo wanajua kwa kina kazi husika yani kazi ya magereza, uhamiaji, polisi, zimamoto na hata NIDA

Kwa jimbo la Lugola (Mwibara), ilikuwa ni halali kwa mwananchi wa mwibara kutenda kosa lolote la jinai. Ikitokea ukamkamata na malalamiko yakamfikia Lugola utahamishwa ndani ya muda mfupi. Lengo ni kulinda kura zake na siyo kutokemeza uhalifu kwa mujibu wa madaraka aliyokuwa nayo. Jinai kwa jimbo la Luhora ilikuwa ni halali.

Alipigania kwa kila hali kulinda kula zake 2020 lakini imekuwa kinyume chake. Ogopa sana machozi ya mtu anaeonewa. Kwani halii peke yake bali hulia na ukoo wake.

HESHIMU ALIYE CHINI YAKO UTAHESHIMIWA NA WATU WOTE.

MUNGU MBALIKI SAAAAAANA JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eyamango

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
464
500
Musiba Cyprian ndio mbunge ajaye wa jimbo la Mwibara.Wana Mwibara wanamwelewa na kumpenda.

Musiba kila lakheri 2020.Walimfanyia sana figisu chaguzi zilizopita.

Ama kweli malipo ni hapa hapa tunapoishi. Nikikumbuka tambo za mh Lugora na nikilinganisha alivyotumbuliwa kwa aibu kubwa siyaamini macho yangu.

Lugola katika uongozi wake ndani ya wizara ya mambo ya ndani amejijengea uadui mkubwa sana kwa aliyokuwa akiwaongoza. Alijisahau kabisa kuwa cheo ni dhamana especially hivi vyeo visivyo na ujuzi (kuteuiliwa na kuchagjliwa).

Lugora alimdhalilisha sana mkuu wa Magereza wa wakati huo kisa tu kachelewa kwenye kikao chake. Tena hakuchelewa sana kwani alifika hata kabla kikao hakijaanza.

Lugora ameadharirisha sana viongozi wa polisi hasa ma rps na rto kwa kuamuru kuhamishwa kwa malalamiko ambayo hata hakuyafanyia uchunguzi.

Mpaka sasa kuna viongizi wengj wa polisi wamesimamishwa kazi kwa amri ya Lugora na familia zao zinateseka pasipo sababu ya msingi.

Lugora alishindwa kabisa kuwa na solidarity na aliyokuwa akiwaongoza na hakutaka majadiliana na waliyoko chini yake ambao wao ndiyo wanajua kwa kina kazi husika yani kazi ya magereza, uhamiaji, polisi, zimamoto na hata NIDA

Kwa jimbo la Lugora (mwibara), ilikuwa ni halali kwa mwananchi wa mwibara kutenda kosa lolote la jinai. Ikitokea ukamkamata na malalamiko yakamfikia Lugora utahamishwa ndani ya mda mfupi. Lengo ni kulinda kura zake na siyo kutokemeza uhalifu kwa mujibu wa madaraka aliyokuwa nayo. Jinai kwa jimbo la Luhora ilikuwa ni halali.

Alipigania kwa kila hali kulinda kula zake 2020 lakini imekuwa kinyume chake. Ogopa sana machozi ya mtu anaeonewa. Kwani halii peke yake bali hulia na ukoo wake.

HESHIMU ALIYE CHINI YAKO UTAHESHIMIWA NA WATU WOTE.

MUNGU MBALIKI SAAAAAANA JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sweet16

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
3,424
2,000
Siasa mchezo mchafu utashangaa keshokutwa kateuliwa ubalozi sjui mtaambia nini wananzengo!!! Badala mbakishe akiba
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,003
2,000
Siasa mchezo mchafu utashangaa keshokutwa kateuliwa ubalozi sjui mtaambia nini wananzengo!!! Badala mbakishe akiba
Mh Lugola ni Mbunge wa Jamhuri ya Tanzania; haitaji kuteuliwa kuwa Balozi labda baada ya muda wa Ubunge kumalizika. Hiyo bado yuko kwenye payroll ya serikali ila hana status ya UWAZIRI
 
Sweet16

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
3,424
2,000
Mh Lugola ni Mbunge wa Jamhuri ya Tanzania; haitaji kuteuliwa kuwa Balozi labda baada ya muda wa Ubunge kumalizika. Hiyo bado yuko kwenye payroll ya serikali ila hana status ya UWAZIRI
Si muda utapita jimbo likichukuliwa na jamaa mwingine je? Si ni miezi tu imebaki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom