Kuenenda kwa Iman

Kuenenda kwa Iman

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348
68ce07d8986d0fdf23289334ecd003a0.jpg
 
Unamaanisha wafuasi hawajui wanapopelekwa?!!
Hata kiongozi hajui anakoelekea!!
Waebrania 11:1 yasema; ..... "Basi IMANI ni kuwa na HAKIKA ya mambo YATARAJIWAYO, ni BAYANA ya mambo YASIYOONEKANA ...."

Chukua hiyo BIBLE VERSE kama msingi wa bandiko langu
 
Mkuu hii picha kama ina uchochezi ndani yake
UCHOCHEZI unatengenezwa na FIKRA zenu .... mie kusudio langu kama nilivyoeleza huko juu nmekusudia NGUVU ya IMANI na MAANA yake ... kama ilivyoandikwa ktk MAANDIKO MATAKATIFU .. Waebrania 11:1 .... soma na utafakari
 
nipe picha yake niiweke
Ujapo katika suala la IMANI (spiritually) .... Hebrews 11:1 ambalo ndo msingi wa bandiko langu .... Sote hatujamwona YESU ... but TWAAMINI alikuwepo hapa ulimwenguni kisha akapaa mbinguni ...

Lakini kama lilivyo jina lake EMMANUEL ... Yupo pamoja nasi akituongoza ili tuufikie UKAMILIFU ....
Kama sie wanadamu HATUIONI NJIA na bado twajenga IMANI kwa mwanadamu mwenzetu alie na MAPUNGUFU kama yetu .... habari gani kuhusu tukitanguliwa na alie ALFA na OMEGA? .... maana yeye anao UWEZO kutuvusha salama
 
Unamaanisha wafuasi hawajui wanapopelekwa?!!
Hata kiongozi hajui anakoelekea!!
Muktadha wa bandiko langu haukumaanisha wafuasi wala kiongozi kutokujua waendako .... Bali NGUVU ya IMANI ....
 
Back
Top Bottom