Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #201
Ni bora kukaa mbali maana yasije yakabumbuluka ukafikiri mimi ndo nimechonga deal. ila kama nakaribishwa who am I to say NO to my friends?So bora usijue kabisa Fixed Point, ila kama ungependa kuja we sema tuweke logistic vizuri mi sina matatizo kabisa:coffee:
Ni bora kukaa mbali maana yasije yakabumbuluka ukafikiri mimi ndo nimechonga deal. ila kama nakaribishwa who am I to say NO to my friends?
Kaizer mvinyo unanihusu sana, mengine hayo tutayaweka kwenye mengineyo siku ya mkutano. au unaonaje?Umeona eeh Fixed Point..tafadhali niambie preferences zako....maadamu umekulia mission, mvinyo utahusu hapo...mengine sijajua....lol
So bora usijue kabisa Fixed Point, ila kama ungependa kuja we sema tuweke logistic vizuri mi sina matatizo kabisa:coffee:
Kaizer mvinyo unanihusu sana, mengine hayo tutayaweka kwenye mengineyo siku ya mkutano. au unaonaje?
Can i tag along Kaizer?
ha ha ha ha, hivi mod wanaedit hadi post zetu?
Wamekwa big braza?
yaani Elizabeth Dominic, kutokana na yale mazungumzo kule kwenye Haleluya Kuu, ni ngumu kuamini wewe si mmoja wetuFixed Point Wakatoliki mna raha sana....mambo ya vino de mesa
ooh why not Elizabeth Dominic? we can as well have this discussion on distance housekeeping afresh!
Any preferences please (maana sijakufahamu uzuri unatumia nn au unapenda nini)
yaani Elizabeth Dominic, kutokana na yale mazungumzo kule kwenye Haleluya Kuu, ni ngumu kuamini wewe si mmoja wetu
Mimi bado kabisa kwenye masuala ya distance housekeeping.....mimi natumiaga mvinyo mwekundu lakini it depends....
hahahaah mi nimesona ivo ivo
kwani ulikuwa umeandika nn?
hapo sasa nitakuelewa................Kalamu imeteleza i meant tuna.....ngoja ni kerebishe
Wanachit-chat nawasalimu.
kuna hili jambo huwa linanitokea sana.
Utakuta nimesafiri, sipo nyumbani kwa siku, wiki, miezi kadhaa, lakini huwa nina tabia ya kuendesha maisha ya nyumbani kana kwamba sijaacha mtu. kila siku lazima nipige simu kuulizia/kutoa maelekezo (mmepika nini?, watoto wamekula?, jioni mtawapa nini?, kesho toa net uzifue......). sasa najiuliza hii ina maana gani? ni mimi tu au hata wamama wenzangu mnafanya hivi?
wababa wanalipokeaje? wanashukuru kuwa tunawasaidia kuendesha nyumba hata kama hatupo nyumbani au wanaona hatuwaamini?