Kuendelea kwa Website za Forum

Kuendelea kwa Website za Forum

Patasote

Member
Joined
Nov 20, 2012
Posts
16
Reaction score
2
Kuendelea kwa Website za Forum kunapelekea Uendeleaji wa Technologia ya Internet Tanzania sasa,Na hatimaye nimetokezea kupenda mfumo huu, na sasa wapsite mpya ya forum imetoka ya friend wangu, Chekini hii Rafikiforums.TK ipo bomba kishenzi!
 
we noma umecopy jf vile vile.

Mi nakupa ushauri tu kama unaamua kuwa na forum unatakiwa uwe na vitu vi 3.

-hela kwa ajili ya domain na support za script na customization

-expert wa kujaza topics za maana

-commitment kwenye forum yako na consistency kila siku uwe unaihudumia hadi hapo itapopata umaarufu.

Ila wewe vitu viwili vya kwanza huna so naona mwisho wa hio forum upo karibu hadi utapovitimiza
 
Kaza msuli mzee ila jaribu kubadilisha angalau majina hayo yanayofanana na ya JF be aware of copy and paste. Sa umekuwa tena ka mimi
 
Dah... Bado xana ndugu.... Kubuild forum yaweza kwa rahisi, lakini kuifanya iwe na mafanikio ndio ishu
 
we noma umecopy jf vile vile.

Mi nakupa ushauri tu kama unaamua kuwa na forum unatakiwa uwe na vitu vi 3.

-hela kwa ajili ya domain na support za script na customization

-expert wa kujaza topics za maana

-commitment kwenye forum yako na consistency kila siku uwe unaihudumia hadi hapo itapopata umaarufu.

Ila wewe vitu viwili vya kwanza huna so naona mwisho wa hio forum upo karibu hadi utapovitimiza

Ahsante sana wewe na Patasote kwa ushauri wenu na kunikubali, ila naomba ki2 ushirikiano wenu Katika kuitangaza pamoja na kuwa poster wakubwa.
 
Nafasi za Umode pamoja Admin Zinapatikana ikiwa utakuwa na Ushirikiano mzuri, na ni buree
 
Patasote ni friend wangu tu, ndie nilomualika mwanzo ndo maana akapost na hiyo post ya 1 isome vizuri kuna neno "friend wangu" linamaanisha ndio mimi
 
Sio mbaya ila jina la zenjweb sio kivile kwa mtazamo wangu.
 
ok nimewasoma, but mumetumia script gani? Na site ipo hosted wapi? Maana inaload slow mbaya

Tatizo sio script ila host ndio tatizo me na2mia 000webhost kaka,sina uwezo wa kutafuta host za hela..
 
Na domain ilikuwa nimetengeza zamani ila ilikuwa cii2mii ndio nikaona bora nii2mie lakini hata mimi cjaipenda
 
Tatizo sio script ila host ndio tatizo me na2mia 000webhost kaka,sina uwezo wa kutafuta host za hela..

Mimi nitakusaidia bure hosting ya site yako yenye 2GB. Speed ya server utaipenda. Register Hapa kisha nipe taarifa.
 
Na domain ilikuwa nimetengeza zamani ila ilikuwa cii2mii ndio nikaona bora nii2mie lakini hata mimi cjaipenda

Tena dot.tk sio reliable kabisa... Unaweza poteza domain yako dakika yoyote
 
Mimi nitakusaidia bure hosting ya site yako yenye 2GB. Speed ya server utaipenda. Register Hapa kisha nipe taarifa.

Nishajiunga but cjaweza kuhamisha vi2 vyangu kwenye host niliyokuwa niki2mia
 
Back
Top Bottom