hehhehe hili jina la rafikiforums ni langu longtime kuna mtu humu aliniomba nitengeneze forum ya kibongo mpya ili watu wapate forum nyengine ya kibongo ndio nikatumia hili jina mwanzo nikaita rafikiforums.tk just kumuonyesha jamaa demo kisha nikabadilisha na kuuita maishaforums.com
Mh! I cannot access the site!
kuna mtu humu anaitwa gshayo muulize