Kuendelea kumpenda mwanamke baada ya kutoa mimba

Kuendelea kumpenda mwanamke baada ya kutoa mimba

Unahitaji ushauri katika hili?!
1. Umekiri hapa kuwa ameshakwambia hataki mtoto kwa sasa, tukushauri nini? ! Mara nyingi mahusiano na wadada waliokwisha zaa huwa yana tabu sana.
2. Sijui unamini nini, ila kwa baadhi ya watu kutoa mimba ni sawa na kuua binadamu kamili.
3. Wanawake wenye tabia za kutoa mimba huwa wanaamini suluhushi la ujauzito ni kutoa tu ( kuua kiumbe)

Mkuu hayo unayoyasema ndiyo ambayo yanazunguka akilini mwangu, maana hakutoa wala kushauri suluhu nyingine zaidi ya kutoa!!
 
Aisee! Pole sana, ila kama kweli katoa mpige chini.
Ni muuaji huyo!
 
Ngoja nikapate mimba nikitoa nitarudi kuchangia
 
kaka huyo anataka umlele mtoto tu mi pia nilimpa mimba mwanamke akaitoa kisa anamuogopa baba ake wakati mm ndo naishi nae na kila kitu changu. na namhudumia baadae kumbe anampango wa kuwa modo na ndio tukaachana hapo kisa umiss akaua sitaki hata kukutana nae barabaran hata simu sipigi wala sitamtafuta kaua wanangu wawili kwa visingizio vya kijinga kijinga usikae na huyo muaji na ukwel atakuacha akikamilisha mission zake
 
mlijipanga kuwa utazaa nae au mimba imeingia kwa gafla....!!
 
Usifikiri mara mbili, fanya maamuzi. Niliwahi kuwa na mkasa kama wako back then, wala sikufikiria mara mbili...baada tu ya kutoa siku ya pili nikampa red card..na hakuamini...! Kuna vitu hutakiwi kuomba ushauri coz unayo serikali thabiti kiongozi..!
 
kumbe cyo pke yangu mm hdi jina la mtt tulipanga km akiwa Me au Ke mwisho wa cku ananipgia cmu yupo hospitali niende kumchukuwa mimba kashatoa kazidiwa hawezi kwenda kwao na hali ile na hospital za vichochoroni hawalaz wagonjwa ila cyo kesi life bdo linasogea
 
Back
Top Bottom