Kuendelea Chuo au kwenda Chuo cha Polisi?

Chuo lakini hakikisha anasomea kitu ambacho kitamsadia kwenye kazi. Hata Polisi anaweza kwenda baada ya chuo hiyo pesa atakulipa maana anapanda cheo haraka na elimu.

Ushauri wangu ni kitu gani anasoma nashauri asome vitu kama software engineering, design, Accounting, Finance au engineering. Akisomea social studies kama sociology na Human resources ni kama kupoteza pesa kama yuko kwenye hizo abadilishe
 
Anasoma Bachelor in Marketing and Entrepreneurship.
 
Bachelor in Marketing and Entrepreneurship.
Kwa ushauri wangu,muache amalize chuo,Tena ana huakika wa asilimia za mkopo,Tena anasome entrepreneur,mengine yatajulikana ,endelea kumtengea fungu fulani akimaliza chuo akikosa plan a kuajiriwa,Basi mjasiliamali uyo atajua pakuanzia
 
Chief chief chief nimekuita Mara 3 acha mtoto akapate Ajira za kudum, swala la mtoto kusoma nna uhakika atasoma akiwa kazin tena kwa pesa zake mwenyewe. Nimekwambia ivyo kutokana na mfumo wetu wa ajira ni mgum sana. Achana na izi ngonjera za humu kuna watu wameandaliwa maisha
Bachelor in Marketing and Entrepreneurship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…