kuelekea (VALENTINE)siku ya wapendanao je ni siku ya sex au kuonesha upendo uwapendao

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,379
habarini za muda
valentine imekaje kwa upande wako je ni siku gani katika maisha yako
na kuwakumbuka uwapendao kwa upendo waliokuonesha kwa namna moja au nyingine

au ni siku ya sex
mana ndo siku inayoonekana kuwa na visa vingi vya mlipuko na maambukizi ya magonjwa ya zinaa
pia kujaa kwa nyumba za wageni
 
kipindi hiki ni🍆🍆🍆stori 🍆🍆tunaendelea tena🍆🍆🍆stori🍆🍆

Malegend washaelewa
 
Back
Top Bottom