Ni vizuri kuwa nayo. Kuepuka dissapointment/surprise (on-transit/destination)Wakuu, hivi chanjo ya homa ya Manjano ni lazima sana kama mtu anasafiri kutoka Tanzania (KIA) Kuelekea Germany kupitia Ethiopia
NAWASILISHA
Sidhani kama kuna ulazima wa kuwa na chanjoWakuu, hivi chanjo ya homa ya Manjano ni lazima sana kama mtu anasafiri kutoka Tanzania (KIA) Kuelekea Germany kupitia Ethiopia
NAWASILISHA
Ooh[emoji39] kama naanza kufurahi...Ahsante kiongoziSidhani kama kuna ulazima wa kuwa na chanjo View attachment 2526762
Umemaliza yoteNi vizuri kuwa nayo. Kuepuka dissapointment/surprise (on-transit/destination)
Tafuta hiyo card!!siku wakiamka vibaya wanaulizia kama unayo hapo airport, mtiti unaanza hapa hapa.Wakuu, hivi chanjo ya homa ya Manjano ni lazima sana kama mtu anasafiri kutoka Tanzania (KIA) Kuelekea Germany kupitia Ethiopia
NAWASILISHA
Sidhani ni issue sana kwa upande wa airlines. Kupata hiyo vaccine ni Muhimu kwa usalama wako hasa kwa nchi hizi za Afrika ambapo maralia nyumbani kwake.Umeangalia requirements kwenye website ya hiyo ndege unayopanda?as most time kila chenye ulazima wanaandika hapo
Mkuu, nmekupata sawa Bin Sawia...hapa cha kufanya ngoja nianze Kufight kutafuta Hyo Kadi ... I Hope nitapataHakikisha umeipata hiyo kadi, vinginevyo watakao kutia msukosuko ni watanzania wenzako. Yellow fever card, sisi na baadhi ya nchi kama Congo, utaulizwa kama unayo.
Kama huna kuna uwezekano wa kuipata mpakani....Lakini baadhi ya vyombo vya usafiri inaweza kuwa kikwazo kwa safari yako....
Alors je vous souhaite un bon voyage !.
Kama upo Dar ni mnazi mmoja..Mkuu, nmekupata sawa Bin Sawia...hapa cha kufanya ngoja nianze Kufight kutafuta Hyo Kadi ... I Hope nitapata
Merci
Lazima uipate, siku hiyo hiyo utakapoamua kuitafuta!.Mkuu, nmekupata sawa Bin Sawia...hapa cha kufanya ngoja nianze Kufight kutafuta Hyo Kadi ... I Hope nitapata
Merci
HawasomagiUmeangalia requirements kwenye website ya hiyo ndege unayopanda?as most time kila chenye ulazima wanaandika hapo
Nimepoteza card yangu itabidi nipate hata ya mchongoTafuta hiyo card!!siku wakiamka vibaya wanaulizia kama unayo hapo airport, mtiti unaanza hapa hapa.
Afu ize sana kuipata. Dkk 10 nyingiKama upo Dar ni mnazi mmoja..
🤣🤣🤣🤣 wenyewe wanajikutaga wanajua kuchunguza OG na fek… ukiwa hauna kitu Muhimu basi wale ndio hiyo siku watakuulizaNimepoteza card yangu itabidi nipate hata ya mchongo
Hata airport kuna chimbo ukiongea na watu wanakupa. Utaandika jina lako na passport No. Ila ni siriKama upo Dar ni mnazi mmoja..