Kuelekea uchaguzi wa DARUSO mbinu chafu zagundulika

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,896
IMG-20180522-WA0252.jpg
 
"Vyuo ni mahali pa kusoma na kufanya research; vyuo si pahala pa kufanya siasa; siasa mtazikuta mkishamaliza - mtafanya siasa hadi mtazichoka, kwa sasa Hapana, SOMENI

Mkuu kashasema maneno haya bado watu wengine wanamtafuta ubaya siyo.
 
Mkuu wa inchi alikataza kufanya siasa maeneo ya vyuo,

Anza na hao kwanza tuone Kweli kama uko serious

Au hairuhusiwi kwa baadhi ya vyama tu
 
Mimi chuoni sijawahi kupiga kura hata siku moja..
Viongozi wote wanachaguliwa kwenye kikao cha CCM nyie wanachuo wanawafanya kama maboya tu kwenda kupiga kura..

Bora huo muda wa kupiga kura mtu upitie hata page 2 kuliko ujinga huo wa kupiga kura kumbe kiongozi anafahamika
 
"Vyuo ni mahali pa kusoma na kufanya research; vyuo si pahala pa kufanya siasa; siasa mtazikuta mkishamaliza - mtafanya siasa hadi mtazichoka, kwa sasa Hapana, SOMENI

Mkuu kashasema maneno haya bado watu wengine wanamtafuta ubaya siyo.
Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi. Kuna ubaya gani siasa ikifanyika chuoni ambako tunaamini watu wana uelewa mkubwa wa mambo? . kukataza siasa shuleni ni mbinu tu ya CCM za kuua fikra mbadala. Kama imekatazwa tawi la UVCCM vyuo vikuu ni la nini?
 
Sidhani kama hiyo ni barua ya Uvccm hapo kuna wahuni wameitunga ili kuonyesha kuwa baadhi ya wagombea wanasapotiwa na ccm
 
Back
Top Bottom