Kuelekea Uchaguzi: Shinyanga Mjini hali ni mbaya

Hali mbaya ccm iko nchi zima, huko mtwara vifaru vinazunguka vijijini kuwatisha watu wasipige kura lakini wapi wanasema bora wafe kuliko kuiacha ccm ipo madarakani
 
Jana jioni nilibahatika kujichomeka katikati ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya ushindi hapa Shinyanga mjini, kwa kweli wanatia huruma!

Hawakuficha kusema ukweli kwamba hali ya chama ni mbaya mno kwa ujumla, si kwa madiwani si kwa mbunge na pia kwa Rais!

Wajumbe hao wamefikia hatua ya kuulaumu uongozi wa juu kwa kumkata Lowassa!

Tegemeo lao kubwa lilikuwa vijiji vya pembezoni lakini hali ni tofauti na walivyofikria, raia wana hamasa ya kiwango cha juu sana cha mabadiliko!

Lowassa ni mpango wa Mungu kwani angechaguliwa CCM kugombea uraisi angeambulia patupu. Watu wanataka mabadiliko nje ya CCM hivyo Lowassa kapanda chati kwa sababu yuko nje ya CCM na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom