Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,230
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa Mji wa Chalinze.
Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea moja ya vizimba vinavyohudumia wakazi wa eneo hilo, Naibu Waziri Kundo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kwa kazi nzuri ya usimamizi wa mradi na kuagiza kazi chache zilizosalia zikamilishwe kwa wakati.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nichukue nafasi hii kuwaagiza Dawasa, kuna baadhi ya vizimba vilivyojengwa wakati wa awamu ya kwanza na ya pili ya mradi huu na sasa havitoi maji, mkavirekebishe na wananchi wapate huduma, lakini pia katika awamu hii ya tatu ya mradi mkandarasi ahakikishe vizimba vyote vinatoa maji kabla ya kukabidhi mradi huu," amesema Mhandisi Kundo.
Kundo amesema kwakuwaomba wananchi kuilinda miundombinu ya maji kwa wivu mkubwa ili thamani ya fedha iliyotumika iendelee kuonekana.
"Sisi Wizara ya maji hatutakaa ofisini, tutatoka kuhakikisha miradi ya maji inatekelezwa ipasavyo na wananchi wanapata huduma ili adhima ya Rais ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani iweze kukamilika," amesema Kundo.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga amemshukuru naibu waziri kwa ziara yake kwani imekuwa ya mafanikio na wanabaki na imani kubwa huduma ya maji katika maeneo ya Bagamoyo na Chalinze itaimarika zaidi.
JANUARI
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
APRILI
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
SEPTEMBA
Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea moja ya vizimba vinavyohudumia wakazi wa eneo hilo, Naibu Waziri Kundo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kwa kazi nzuri ya usimamizi wa mradi na kuagiza kazi chache zilizosalia zikamilishwe kwa wakati.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nichukue nafasi hii kuwaagiza Dawasa, kuna baadhi ya vizimba vilivyojengwa wakati wa awamu ya kwanza na ya pili ya mradi huu na sasa havitoi maji, mkavirekebishe na wananchi wapate huduma, lakini pia katika awamu hii ya tatu ya mradi mkandarasi ahakikishe vizimba vyote vinatoa maji kabla ya kukabidhi mradi huu," amesema Mhandisi Kundo.
Kundo amesema kwakuwaomba wananchi kuilinda miundombinu ya maji kwa wivu mkubwa ili thamani ya fedha iliyotumika iendelee kuonekana.
"Sisi Wizara ya maji hatutakaa ofisini, tutatoka kuhakikisha miradi ya maji inatekelezwa ipasavyo na wananchi wanapata huduma ili adhima ya Rais ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani iweze kukamilika," amesema Kundo.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga amemshukuru naibu waziri kwa ziara yake kwani imekuwa ya mafanikio na wanabaki na imani kubwa huduma ya maji katika maeneo ya Bagamoyo na Chalinze itaimarika zaidi.
JANUARI
- Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni
- Wizara ya Ardhi yapongezwa kutenga fedha kukamilisha mradi wa maktaba
- Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila
- DC Momba amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi za miradi, katika sekta ya elimu
- Serikali TAMISEMI yaahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi Kilolo, Iringa
- Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto
- Pre GE2025 Mavunde: Kiwanda cha kuchenjua shaba Nala, mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini
- Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo lapendekeza Kuvunjwa kwa Mkataba wa Mkandarasi wa Mradi wa Umwagiliaji Mgongola
- Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar
- Barabara njia nne na sita kujengwa Dodoma
- Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
- Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
- Pre GE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo
- Pre GE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari
- Pre GE2025 Serikali kujenga uwanja mpya wa ndege Kagera
- Pre GE2025 Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi
- Pre GE2025 Njombe: Waziri Jafo ataka mradi makaa ya mawe ukamilike haraka
- Pre GE2025 DAWASA: Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia 97%, Je, ulipo bado kuna shida ya maji?
- Pre GE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme
- Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme
- Pre GE2025 Njalu Silanga, Mbunge Itilima: Serikali imepeleka bilioni 85 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Itilima, Simiyu
- 18. Pre GE2025 Baada ya Samia Legal Aid sasa wameanzisha "Samia Teachers Clinic" kwa ajili ya maslahi ya walimu. Walimu msidanganyike!
- Pre GE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza
- Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
- Vikundi 150 Tunduma vyapokea bilioni 4.6 mikopo ya asilimia 10
- DC Bomboko aagiza kuondolewa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi shule ya Sekondari Saashisha sababu mradi kusuasua
- Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami
- Pre GE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400
- Pre GE2025 NIRC wasaini mkataba wa bilioni 17 ukarabati skimu za umwagiliaji bonde la mto wa Mbu Arusha
- Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya
- Pre GE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa
- Pre GE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)
- Pre GE2025 Dkt. Mpango akabidhi mitungi ya gesi kwa wanawake Mbeya
- Pre GE2025 Njombe DC: Bilioni 1.16 zakabidhiwa kwa vikundi 92 mikopo ya mapato ya ndani
- Pre GE2025 RC Simiyu akabidhi mradi wa ujenzi wa daraja la milioni 757 kwa mkandarasi na kuagiza ukamilike kwa muda na ubora
- Pre GE2025 Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%
- Pre GE2025 Mrisho Gambo: Barabara ya Esso - Long'Dong Arusha mjini kujengwa kwa kiwango cha lami
- Pre GE2025 Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita
- Pre GE2025 Wananchi Handeni - Tanga waishukuru Serikali kwa kutatua kero ya upatikanaji wa huduma ya maji
- Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
- Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
- Pre GE2025 Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525
- CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo
- Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
- Pre GE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga
- Pre GE2025 Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda
- Pre GE2025 Mchengerwa, amtaka mkandarasi kuongeza kasi ujenzi wa Daraja la Mbambe Rufiji
- Pre GE2025 Mbunge Ummy Mwalimu aomba kufufuliwa kwa viwanda, ujenzi Chuo Kikuu Tanga
- Pre GE2025 Rais Samia: Barabara ya Handeni - Kiberashi - Singida Ijengwe kwa PPP
- Pre GE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya
- Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025
- Pre GE2025 Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na MUWSA
- Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 30,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji
- Pre GE2025 Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia
- Pre GE2025 Mbunge Katambi ashiriki na Wananchi ujenzi wa Zahanati Ibanzamata, achangia milioni 10
- Sumbawanga: Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 kwa bilioni 1.3
- RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama
- Mbunge Bukoba Mjini: Bilioni 47 kutumika ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba
- Rukwa: Kijiji cha Kanazi kunufaika mradi wa maji ya kisima
- Pre GE2025 RC Dendego aongoza wanawake wilaya ya Singida kushiriki ujenzi wa shule ya amali unaogharimu bilioni 1.6
- Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi
- Pre GE2025 Serikali kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya kwa Trilioni 1.2
- Pre GE2025 Bilioni 17 kubeba ujenzi wa stendi kuu na barabara za lami Mjini Babati
- Ummy Mwalimu: Bilioni kutumika kukamilsha ujenzi barabara Tanga - Pangani
- Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa
- Pre GE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa
- Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu
- Pre GE2025 Juliana Shonza: Rais Samia ametufanyia Kazi nzuri, tumepata Hospitali ya Kisasa kwa Wanawake Songwe
- Pre GE2025 DSM Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi
- Pre GE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8
- Pre GE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020
- Pre GE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000
- Pre GE2025 Singida: Mitungi zaidi ya 29,000 yatolewa kwa bei nafuu
- Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?
- Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
- Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
- Pre GE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka
- Naibu Waziri wa Ardhi, Geophrey Pinda azindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo
- Pre GE2025 Waziri mkuu mkuu mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome
- Pre GE2025 Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango
- Pre GE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia
- Pre GE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo
- Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega
- Waziri Slaa awataka wananchi kushiriki ujenzi wa mnara
- Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri
- Pre GE2025 Zainab Katimba: Serikali imetoa bilioni 1.8 kuendeleza Ujenzi wa Hospitali ya Muleba
- Pre GE2025 Serikali yatenga Sh. Bilioni 25 kutekeleza mradi wa SLR
- Pre GE2025 Serikali yatakiwa kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali
- Pre GE2025 Salma Kikwete: Tumejipanga kuiomba serikali pesa za kukarabati soko la samaki kwenye kijiji cha Mchinga
- Pre GE2025 Waziri Aweso: Aitaka DAWASA kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na uaminifu
- Pre GE2025 Fredrick Lowassa: Serikali ya Rais Samia imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli
- Pre GE2025 Sekondari mpya Majengo ya mil. 584 kuwa ya mfano Korogwe mji
- Pre GE2025 Kigoma: Ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa Kilometa 260, wafikia 83%
- Pre GE2025 DSM TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga Barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe
- Serikali imetoa trilioni moja kutekeleza mradi wa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora - Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi
- Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri
- Waziri Slaa awataka wananchi kushiriki ujenzi wa mnara
- Serikali yatoa magari 12 kwa wadhibiti ubora shule Wilaya
- Arusha: serikali yafanya uboreshaji barabara ya Namanga – Sinonik – Mairouwa
- Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia
- Waziri mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome
- Serikali imetenga Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele, Iringa
- Serikali imesema mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) mbioni kukamilika
- Pre GE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara
- Pre GE2025 Kagera: RC Mwassa asema soko jipya la Manispaa litakuwa tayari baada ya mwaka, stendi mpya ujenzi kuanza Mei
- Serikali imetenga Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa Kumi na Sita
- Ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga wafikia asilimia 75 ukitarajiwa kukamilika Juni 10, 2025
- DC Mpogolo: Miaka minne Ilala imepokea zaidi ya bilioni 317 ya miradi mbalimbali ya maendeleo
- Mbunge Bukoba Vijijini: Serikali imetoa bilioni 106.4 kutekeleza miradi ya maendeleo
- Meya Songea: Miaka minne bilioni 188 zatumika miradi ya maendeleo Songea
- Korogwe wazinduawa kilimo mbada Tarafa ya Bungu kuunga mkono jitihada za Rais Samia
- Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu
- Tanga: Mwana FA azindua mradi wa Maji Kwatango wenye thamani ya TSh. Milioni 679
- Mbunge Kihenzile akagua Ujenzi wa Kituo cha Afya Mninga, asisitiza ushirikiano wa Serikali na Wananchi
- DC Victoria Mwanziva: Lindi tumepokea TSh. bilioni 82 tangu Rais Samia aingie madarakani za miradi mbalimbali ya maendeleo
- Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi kuwasili Aprili
- Rukwa: Mradi Mkubwa wa maji wakamilika Mafinga
- TANROADS yatatua hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama
- Pre GE2025 DC: Watumishi mnaojenga Uwanja wa Ndege Sumbawanga acheni wizi, huu sio Mradi wa Mchina
- Ujenzi wa daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye thamani ya bilioni 610, umefikia asilimia 97. Magari kuanza kupita Aprili 2025
- Shigongo: Tunajenga feri yenye uwezo wa kubeba abiria 800 Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema
- Arusha: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaridhishwa kukamilika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira
- Bilioni 60 zatumika kukamilisha ujenzi barabara ya Iringa - Kilolo
- Mchengerwa atoa miezi miwili barabara za tarura ikwiriri zikamilike
- Pre GE2025 Rais Samia akamilisha ujenzi wa Shule kubwa ya Wasichana Lugalo, Iringa – Mwanafunzi aahidi ufaulu wa Divisheni 1 pointi 3
- RC Chalamila amuwashia moto mkandarasi, achukizwa na uzembe barabara ya Kivule
- DC Makete azindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 416
- Serikali yasema Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa (Tsh. Bilioni 119.9) utawanufaisha Wakazi 219,309
- Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2
- Kigoma: CCM yawatembeza mabalozi mia sita wa serikali za mitaa kukagua miradi ya maendeleo
- Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20
- Serikali kutoa bilioni 335.6 ya miradi ya maendeleo Manyara
- Bilioni 86 zaimarisha maendeleo Lindi chini ya uongozi wa Rais Samia
- Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege
- Baba Levo na kampeni ya mama hana deni, Bilioni 56 zatolewa kukamilisha mradi wa umwagiliaji Iringa
- RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'
- Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja
- REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259
- Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhia kufungwa shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika
- Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2
- Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati
- Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
- Kamati ya kudumu ya bunge yaridhishwa na ujenzi wa minara 758
- Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91
- Kamati ya ardhi, maliasili na utalii yaridhishwa na ujenzi wa maktaba chuo cha ardhi Tabora
- Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga
- Tabora: Kamati ya Bunge yaridhishwa ujenzi Bwawa la Kizengi
- Kamati ya miundombinu yaitaka Serikali kumsimamia mkandarasi ujenzi barabara ya Tanga-Pangani ili ikamilike wakati
- Pre GE2025 Kamati ya bunge ya utawala, katiba na sheria yapongeza uwekezaji wa TASAF sekta ya elimu
- Kamati ya Hesabu za Serikali imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini RUWASA na kutaka ukamilishwe kwa wakati
- Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Michezo amshukuru Rais Samia kwa "kutoa" fedha na kuinua na michezo nchini
- Pre GE2025 Kamati ya Bunge yaridhishwa na ujenzi wa bwawa Uyui; Wizara ya maji yapongezwa
- Pre GE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaimiza Serikali kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani
- Pre GE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa: Tumekagua miradi tumeona kuna matatizo katika maeneo mengi
- Pre GE2025 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma imeiagiza TANROADS kuwasimamia makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati
- Kamati ya hesabu za serikali yatembelea na kuonyesha kuridhishwa na mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa
- Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba
- Pre GE2025 Kamati ya bunge yabaini madudu Mbeya, zimepigwa milioni 73
- Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati
APRILI
- UVCCM Iringa vijijini yatembelea miradi ya maendeleo mboliboli
- Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa: Serikali kuanza ujenzi wa reli ya SGR mikoa ya kusini
- Meneja wa Bandari ya Mtwara, Ferdinand Nyathi: Bilioni 434.5 kujenga Bandari ya Kisiwa Mgao
- Rais Samia azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Tambukareli-Dodoma, leo tarehe 05 April, 2025
- TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati
- Simiyu: Kamati ya Siasa CCM yakerwa na kusuasua kwa ujenzi wa VETA Busega
- Mradi wa upimaji wa ardhi unatarajiwa kuwezesha uboreshaji wa jiji la Mbeya kuwa la kisasa
- Mradi wa maji Ziwa Victoria kuelekea Singida - Dodoma, kukamilika Juni 2025
- Morogoro: Wananchi wanufaika na mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Mil. 600
- Kihenzile: Serikali yaanza Ujenzi wa Meli kubwa ya Mizigo Tani 3,500, Urefu zaidi ya Uwanja wa Mpira Ziwa Tanganyika
- Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne
- Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
- Mchengerwa: Serikali yasaini mikataba, Watoa huduma watatu kuendesha Mwendokasi
- Waziri Aweso apanda na Suti yake kwenye Tenki kukagua mradi wa Maji Dodoma
- Wasira apongeza kasi ya utekelezaji miradi ya maendeleo Tabora
- Pre ge2025 balozi Nchimbi aelekeza wizara ya maji iweke msukumo mradi wa Tarime - Rorya
- DC Rombo akabidhi mkopo wa Sh. Milioni 641 kwa vikundi bila riba
- Waziri Ulega atoa siku 30 kwa Mkandarasi barabara ya Nsalaga-Ifisi kuwekwa Lami
- Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja
- Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya
- Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe
- Wananchi zaidi ya 900 wapatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo Peramiho
- Zaidi ya wagonjwa 450 wapatiwa huduma upasuaji wa macho bure Arusha
- Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
- Kamati ya PAC yaridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi
- Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) yaagiza ukaguzi maalum KITUO CHA AFYA CHA FARKWA
- Dodoma: Kamati ya Kudumu ya Bunge, imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji mradi wa Bwawa la Umwagiliaji Membe
- Serikali yaahidi kuendelea kutoa kipaumbele kwa makandarasi wazawa
- Serikali yajipanga kuongeza mikopo ya wanafunzi wa stashahada
- Wachimbaji madini waipongeza REA kwa kuwafikishia umeme
- Waziri wa maji: Miradi ya maji 2331 imekamilika nchini
- Ujenzi wa Tawi la UDSM Lindi wapiga hatua: Ngongo 45%, Ruangwa 36%
- Ulega avunja Mkataba wa Bil. 47 na Mkandarasi wa China kwa uzembe. Aagiza Zabuni mpya kwa Km 95.2
- Serikali kujenga daraja linalounganisha kijiji cha Gegero – Kilindi
- Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara
- Picha: Hii ndiyo miradi inayotarajiwa kupitiwa na mwenge wa uhuru, Ruangwa 2025
- Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85
- Amkeni: Serikali imetoa Tsh. bilioni sita kujenga ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Dar, yatoa magari 2 ya milioni mia sita
- Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje
- Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji Hanang, mkoani Manyara
- Serikali yatoa zaidi ya milioni 815 kukarabati mradi wa Maji Dihimba Mtwara
- Zaidi ya sh. Bilioni 28 kujenga kituo cha upandikizaji figo tanzania
- Diwani aeleza Ujenzi wa barabara ya nyakahanga – Nyabiyonza – Masheli unavyonufaisha wananchi Karagwe
- Mtwara: Zaidi ya milioni 143 zatumika kwenye ujenzi, jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD)
- Mbunge Mtenga awahakikishia wananchi Mtwara kuanza kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Julai, 2025
- Waziri Ulega: Hatutaongeza muda kwa mkandarasi atakaechelewesha mradi
- Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji Hanang, mkoani Manyara
- Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara
- RC Chalamila: Miradi 36 yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni 79 kupitiwa na mwenge wa uhuru Dar
- Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba
- Naibu Waziri wa Ujenzi aahidi ujenzi wa daraja la Mitomoni kukamilika Septemba 2025
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
- Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Lindi yaipongeza Kilwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo
- CCM Mbeya mjini yapongeza utekelezaji wa mradi wa barabara Ilomba - Machinjioni
- Serikali yaahidi kufikisha huduma ya maji kwenye makazi ya watu, Msomera
- Serikali imetenga Bilioni 123.93 kutoa huduma za kibingwa na kibobezi 2025-2026
Diwani Kishapu ajitokeza kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM Januari hadi Juni 2025, joto la kutetea kiti Oktoba linapanda
NIRC yaanza utelekelzaji wa uchimbaji visima 67,000 vya umwagiliaji, nchi nzima
Serikali yatoa Bilioni 5.57 kujenga uzio wa shule zilizopo maeneo hatarishi
Naibu Waziri wa Ujenzi aahidi ujenzi wa daraja la Mitomoni kukamilika Septemba 2025
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akagua Ujenzi wa Ofisi za RUWASA na kugawa Magari 19 kwa Ofisi za Makao Makuu na Wilaya
Kiwanda cha madini adimu kujengwa kijijini cha Ngwala Mkoani Songwe
Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la TBS makao makuu Dodoma
Sherehe za Uzinduzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini
Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025
Mradi wa uwanja wa ndege mwanza miaka 3 bila kukamilika. Wananchi tuelezwe tatizo ni nini
Rc Mtanda awataka wakandarasi REA kuharakisha utekelezaji miradi ya umeme jua visiwani
RC Homera amuagiza DC Mbarali kumsweka ndani mkandarasi endapo hatakamilisha mradi mpaka Juni 30, 2025
Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali
Billioni 19.8 Zawekezwa Hospitali ya Rufaa Simiyu
Rais Samia azindua shule ya wasichana Simiyu, ujenzi wa shule umegharimu Billioni 4.45
Geita: Kamati mbalimbali zaundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo
Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa
Rais Samia Atimiza Ahadi ya Kuwainua Wakandarasi Wanawake. Wapewa mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Lami km 55.
RC Mtambi Azindua Sekondari Iliyoanza Kujengwa kwa Nguvu za Wananchi
Tabora: Serikali yatoa bilioni 26.9 kujenga Skimu ya umwagiliaji Mwamapuli
Serikali kujenga Shule maalumu ya wavulana Kanda ya Ziwa
Serikali yatoa Bilioni 5.57 kujenga uzio wa shule zilizopo maeneo hatarishi
TARURA Imefanikiwa kuunganisha barabara ya vijiji vya runazi na kabindi iliyokatika kutokana na mvua za masika
Eric Shigongo ajitolea Mitambo kuboresha barabara Buchosa
Shigongo, atimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani katika kata 6 jimbo kwake Buchosa
Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo ameanza rasmi Kampeni ya `Buchosa inaongea katika Kata ya Nyehunge
Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa
Prof. Mkenda: Rais Samia aagiza kila Wilaya kujengwa VETA, Ujenzi unaendelea katika Wilaya 64
Billioni 188.59 zatolewa Kwa TANESCO na REA, Miradi 1222 yatekelezeka 2020/2025
Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) yampongeza Rais Samia kutekeleza mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati safi
Eric Shigongo abuni madarasa ya kidijitali mapinduzi ya elimu yaanza Buchosa
- Picha za Shule maalumu za Sayansi Zilizojengwa na Mama Samia Mikoa yote Tanzania.Hapa ni Siha-Kilimanjaro
- Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji
- Daraja linaloelea la Tsh. Milioni 158 lazinduliwa Mbulu
- Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, UKIMWI na Malaria nchini
- Mradi unaolenga kuboresha huduma ya maji Tanga Jiji, Muheza, Pangani na Mkinga, kunufaisha wakazi 555,000
- Mwenge wa uhuru Singida kupitia miradi ya bilioni 62.6
- Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi
- Mapinduzi ya korosho Tunduru-maafisa ugani 50 wapatiwa pikipiki kuinua kilimo
- MD Twange akagua maendeleo ya miradi ya umeme Dodoma
- Serikali yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98 kuimarisha sekta ya elimu Mbeya na Mtwara
- Trilioni 11.4 zatekelezwa kwa miradi ya maendeleo Kigoma, shilingi bilioni 731.5 zatumika kwenye ujenzi wa barabara
- Shilingi bilioni 161.3 kutumika kuimarisha huduma za afya msingi nchini
- Mchengerwa: Mkandarasi akishindwa kutekeleza awamu ya kwanza Ifikapo mwezi wa 10 Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola Ipitike, achukuliwe hatua
- Njombe: Shilingi Bilioni 19.6 kutumika mradi wa Kuboresha Ubora wa elimu ya sekondari
- Mkandarasi ahidi kukamilisha kwa wakati ujenzi wa ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Kagera
- Kigoma: Serikali kupitia mradi wa SEQUIP yatoa Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mpya mbili za sekondari
- Geita DC yatoa mkopo wa bilioni 1.15 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu
- Rais Samia atoa Bilioni 16.696 kuboresha Miundombinu ya Elimu Tanga
- Serikali ya awamu ya sita imetoa Bilioni 5.7 ujenzi wa shule mbili Mkoani Mara
- Waziri wa Maji Jumaa Aweso: Zaidi ya Trillioni 1 imewekezwa kwenye mradi wa miji 28
- Waziri wa Maji, Jumaa Aweso awaonya wakandarasi Mradi Miji 28 muda wa utekelezaji kutoongezwa
- Serikali kupitia TANROADS imeanza rasmi ujenzi wa daraja eneo la Jangwani, Dar es Salaam
- Kamati ya ukaguzi tarura yatembelea miradi minne ya barabara Shinyanga
- Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma
- Mwenge wa uhuru kutembelea miradi yenye thamani ya zaidi bilioni 6.4 manispaa ya Kahama 2025
- Kaliua: Mwenge wa Uhuru wazindua, na kuweka mawe ya msingi miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2
- Kaliua yanunua mtambo wa shilingi bilioni 1.2 wa kutengeneza barabara, siku zote walikua wapi wanategea tukikaribia uchaguzi?
- Kamati ya makatibu wakuu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini Arusha
- Bilioni 36.596 za mradi wa sequip zilivyo inufaisha dodoma kwenye sekta ya elimu
- Shilingi bilioni 200 kuondoa kero ya nishati ya umeme Songwe
- Serikali yatoa bilioni 19.99 kujenga Stendi Kuu ya mabasi Babati
- Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
- RC Mboni Mhita: Rais Samia ametupatia TZS155.24bn kwaajili ya kuboresha Elimu mkoa wa Shinyanga kwa kipindi chake cha miaka minne
- Balozi Dkt. Batilda Salha Burian: Tanga tunakarabati bandari kwa TZS. Bil 429.1 ikiwa ni sababu ya wananchi wa Tanga kumtaka tena Rais Samia Oct 29
- TARURA yajenga Madaraja 439, yaokoa Bilioni 75
- RC Paul Matiko Chacha: Bajeti ya dawa imefikia shilingi bilioni 10 kutoka bilioni 4 za mwaka 2020, jumla tumepokea bil 35 kwenye Afya tu
- Rais Samia azindua Maabara Kuu ya Kilimo Dodoma
- RC Kanali Evans Alfred: Bajeti ya Ujenzi Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka TZS7bn mwaka 2020 hadi TZS245bn, bajeti ya TARURA imeongezeka mara 4
SEPTEMBA