Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Uchambuzi wangu

Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Uchambuzi wangu

umechambua vizuri ludovic,ila nakuambia babu slaa akisimamishwa kugombea urais,ccm watakuwa wamepewa uteremko na wala hawatatumia nguvu nyingi yule mzee kachoka anajitutumua tu.
Padre mzinifu hatusumbui hata kidogo. CHADEMA wakilogwa tu kumsimamisha babu basi hata kampeni hatutapiga
 
LUDO Dhambi ya usaliti imeanza kukutesa eh, umeanza kuweweseka na bado.

mipango yenu ovu daima haitashinda haitashinda, endeleni kujipanga

Pompo,
usaliti ni dhana inayopaswa kuelezwa na kueleweka vizuri kwa wana chadema na wote wenye mapenzi mema. tujuavyo usaliti ni kwenda kinyume kwa nia ovu na mipango adilifu ya pamoja. katika muktadha wa chama cha siasa, ni kwenda kinyume na falsafa,itikadi, sera, na maadili ya chama. sasa nani kati ya anayeitwa msaliti chadema amevunja hayo?
Hakuna mtu anayewajibika au kubanwa na dhamiri kutenda jambo baya.ikiwa kuna watu waliona chadema inakengeuka na haifati falsafa,itikani,sera na maadili yake,huo siyo usaliti. wasaliti ni wale wanaovunja hayo. bahati mbaya kwa chadema ndiyo wanawaita wenzao wasaliti.
 
Padre mzinifu hatusumbui hata kidogo. CHADEMA wakilogwa tu kumsimamisha babu basi hata kampeni hatutapiga
hawezi kuwa mzinifu zaidi ya wazinifu waliopo magogoni wewe mtu anazaa watoto 30 wote mama mbalimbali na bado wametinga IKULU hata hawajui wafanye nini
 
Padre mzinifu hatusumbui hata kidogo. CHADEMA wakilogwa tu kumsimamisha babu basi hata kampeni hatutapiga
Tukiwa wa kweli ndani ya nafsi zetu tunaweza kufanya mazuri zaidi. Hivi tukianza kuwachambua viongozi wetu wote walioCCM ni nani atabaki kwa kuwa ni msafi kwenye mambo ya ukahaba? Ukiwa mkweli daima unakuwa na akili zaidi, kwa sasa hebu muache huyu Dr.Slaa na maisha yake.Hata mwenyekiti wetu wa CCM ni mchafu kupita maelezo lakini tunamstahi. Na mbaya zaidi aliwahi kutamka ulevi wake ni nini?
 
Pompo,
usaliti ni dhana inayopaswa kuelezwa na kueleweka vizuri kwa wana chadema na wote wenye mapenzi mema. tujuavyo usaliti ni kwenda kinyume kwa nia ovu na mipango adilifu ya pamoja. katika muktadha wa chama cha siasa, ni kwenda kinyume na falsafa,itikadi, sera, na maadili ya chama. sasa nani kati ya anayeitwa msaliti chadema amevunja hayo?
Hakuna mtu anayewajibika au kubanwa na dhamiri kutenda jambo baya.ikiwa kuna watu waliona chadema inakengeuka na haifati falsafa,itikani,sera na maadili yake,huo siyo usaliti. wasaliti ni wale wanaovunja hayo. bahati mbaya kwa chadema ndiyo wanawaita wenzao wasaliti.

wewe ludo ni toilet paper ya magamba, kumbuka kuna kufa mimi nitakufa hata wewe utakufa.
 
ACT-TANZANIA

Hatimaye chama hiki kidogo hatujui sawasawa malengo ya chama hiki kuanzishwa japo waanzilishi wanatupa misingi kumi ambayo kwa kweli ni mizuri. kinadai kinataka kufufua unyerere. yako baadhi ya mambo ya ajabu sana juu ya chama hiki. kwanza ni chama ambacho kinapigwa vita na wapinzani wenziye.hili ni jambo la aibu hasa kwa chadema kuona sasa kinapinga demokrasia ya vyama vingi.

Chama hiki kimesema na kurudia malengo yake lakini kinaambiwa kinaua upinzani.kwa hiyo hiki ni kihunzi cha kwanza kukiruka. chadema kwa sasa wanahitaji na kutamani wawe chama peke yao.

naona unajitoa Ufahamu na kujifanya hujuhi kuwa Waenezi wa chama hiki ndio wasisi wa usaliti CDM na wapo humu walikuw awakitukana viongozi w akuu wa CDM, sasa unategemea nini?

Umesahahu Mwigamba mwanchama wa ACT alipo jipongeza pale Msajili wa Vyama alipo Ingilia katiba ya CDM na kujifanya kutoa uhshauri?
sasa unafikiri kuna wana CDM watakipenda hiki chama?

By the way kwani CDM ni wakina nani na wpao wnagapi?
kwani lazima wapate Support ya CDM? inamaana Bila CDM ACT hawawezi kukua? Mimi naamini asonge mbele kama wkeli wanania ya dhati ya kuwa wapinzani na wachane na kelel za CDM.
 
Kwa maoni yangu, itategemea baadhi ya mambo. mfano kama ni kweli kuwa ZITTO na KITILA wako nyuma ya chama hiki, basi uhai wake utategemea kwanza watu hawa wawili wajitokeze hadharani na kuanza kujenga chama chao na kama hilo litatokea, chama hiki kitakuja kuwa chama kikubwa sana hivi karibuni tu. maana, kuna watu WENGI wako frustrated katika vyama vyao vya sasa, watakuwa wamepata pahala pa kupumulia. katika kufikiria mbali,na kama CCM ikimeguka kuelekea uchaguzi mkuu na mgombea mwenye nguvu huko akatemwa akaamua kujiunga ACT, mimi sioni ugumu kuwa chama hiki kinaweza kutoa rais wa awamu ijayo. na hizi siyo ndoto.

1. Wengi walio kuwa Frustuated kwenye hivyo vyama vyao(wewe ukiw ammoja wao) ni walel wafuta watu na sio walio futa chama kw amamana ya sera , itikadi na katiba yao. na kwenye hili unaweza ukaniambia sera, itikadi na katiba ya ACT ? na kama hazipo na uzijuhi basi hata huko mtakuwa frustuated ile siku unayemfuta huko atakapo toka au atakapo pigwa chini.

2. Hii gia ya kusubiri CCM imeguke ndio ilele ya CCJ, sasa kwlei ndugu yangu unategemea CCm itameguka? ushahuri wnagu sahahu mana keki huko bado nikubwa sana. kama mtu akinyimwa Uraisi basi atapewa Uwaziri au ulaji mwingine wpwpwte na atasahahu kuhama kama hujuhi kawaulize CCj an Sitta.
 
LUDO Dhambi ya usaliti imeanza kukutesa eh, umeanza kuweweseka na bado.

mipango yenu ovu daima haitashinda haitashinda, endeleni kujipanga

Wimbo wa usaliti unaimbwa sana! Kama wote hao wameisaliti chadema basi haina maana, chadema wafe kwa kusalitiwa.
 
Marehemu chadema, rest in hell

Nami nashauri kuwa cdm kisibezwe sana ila tuendelee kutumia udhaifu wa wapenda madaraka kuwin political influence, ingawa kimsingi CDM kimeyumba sana.
 
Back
Top Bottom