Kuelekea uchaguzi mkuu: Impact ya Lowassa katika media

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,493
Reaction score
2,366
Katika uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua mambo yafuatayo kuhusiana na media hasa katika mazingira ya mjini
  • Magazeti yanayoandika habari za Lowasa kama habari kuu kwa siku hiyo yanaongoza kwa kuuza
  • Mijadala ya mitandaoni (Jamii forums, twitter, facebook n.k) ile inayomuhusu Lowasa inaongoza kwa kupata comments nyingi
  • Katika TVs ikiisha tu habari inayomuhusu Lowasa watu wanabadilisha channel na kuweka za miziki, maigizo, katuni n.k
  • TV zisizoonyesha habari za Lowasa kabisa zina watazamaji wachache
  • Mijadala ya kumponda Lowasa ktk TV haipati watazamaji wengi
 
ccm imechokwa imeweza kutuongoza toka mwaka 1977 mpaka leo wameshindwa hata kutuletea maji hapa dar es salaam yeyote mwenye kuichagua ccm nitampeleka milembe dodoma tukampime
 
Hata mimi nashangaa hata dr slaa mwisho atakosa watazamaji.
 
CCM imechokwa sana,pia Mchezaji wa kuazimwa yule wa kula mihogo ndiye anawachafua.zaidi
 
Mkuu juzi kati nilikuwa naangalia taarifa ya habari Itv kwenye kijiwe cha kahawa, ilivoisha tu habari ya Lowasa watu wakaanza kutawanyika kila mtu na mishe zake!
 
Yule mlaghai anadhani kwa kusema anakula miogo ndio tutamsikiliza, hivi pale hotelin anapoishi wana menu ya miogo na marage?
 
Mkuu juzi kati nilikuwa naangalia taarifa ya habari Itv kwenye kijiwe cha kahawa, ilivoisha tu habari ya Lowasa watu wakaanza kutawanyika kila mtu na mishe zake!

Mjini watu wanajitambua nisijue vijijini
 
Katika uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua mambo yafuatayo kuhusiana na media hasa katika mazingira ya mjini
  • Magazeti yanayoandika habari za Lowasa kama habari kuu kwa siku hiyo yanaongoza kwa kuuza
  • Mijadala ya mitandaoni (Jamii forums, twitter, facebook n.k) ile inayomuhusu Lowasa inaongoza kwa kupata comments nyingi
  • Katika TVs ikiisha tu habari inayomuhusu Lowasa watu wanabadilisha channel na kuweka za miziki, maigizo, katuni n.k
  • TV zisizoonyesha habari za Lowasa kabisa zina watazamaji wachache
  • Mijadala ya kumponda Lowasa ktk TV haipati watazamaji wengi

Acha kudanganya watu hakuna wa kumlinganisha na Magufuli
 
ukitaka kuongea kitu kwenye kundi la watu wengi mfano kwenye folleni ATM za NMB kama unataka watu wanyamaze na kukusikiliza anza na neno LOWASA.

Nimefanya majaribio sehem mbalimbali
 
Hata mimi mmoja wao vitu vya lowasa kwenye tv vya kuongelewa vikiisha nabadili channel, anamvuto saana jamaa
 
Au ni ile tsunamai iliyotabiriwa...... Na mimi isha nikumba sasa
 
Lowasa ni hatari, wale wanaosema anahonga ili ashawishi watu mimi hajaniohonga lakini moyo wangu umefunikwa na mahaba ya dhati
 
Back
Top Bottom