Kuelekea uchaguzi mkuu: Impact ya Lowassa katika media

Kuelekea uchaguzi mkuu: Impact ya Lowassa katika media

Katika uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua mambo yafuatayo kuhusiana na media hasa katika mazingira ya mjini
  • Magazeti yanayoandika habari za Lowasa kama habari kuu kwa siku hiyo yanaongoza kwa kuuza
  • Mijadala ya mitandaoni (Jamii forums, twitter, facebook n.k) ile inayomuhusu Lowasa inaongoza kwa kupata comments nyingi
  • Katika TVs ikiisha tu habari inayomuhusu Lowasa watu wanabadilisha channel na kuweka za miziki, maigizo, katuni n.k
  • TV zisizoonyesha habari za Lowasa kabisa zina watazamaji wachache
  • Mijadala ya kumponda Lowasa ktk TV haipati watazamaji wengi

Ni Kweli Kabisaaa;ninaishi na wanachama Wa CCM damudamu,ila cha ajabu Hupenda sana E.A:tv Na ITV hasa habari za lowasa,
Star Tv Ilipendwa kwa sababu ya BBC dira ya Dunia ila sasa si BBC Inayopendwa kwani Imejaa Propaganda za Kenya Watz wameichukia,
Star Tv,Imechuja hasa kwa jngles zake za Kumdhalilisha rais wao mtarakiwa Ndugu Lowasa,
Star Tv Baada ya Oktoba itatoweka kabisa,
Afdhali Angalau TBC baada ya kuchachafiwa Hapa JF inaweka habari za lowasa angalau kidooocho inatazamwa.
 
Hata mm naunga mkono majibu ya uchunguzi wako.... Kwakweli hata mm sina mzuka na taarifa za wagombea wengine
 
wiseboy umeongea kitu cha kweli kabisaaa hata Mimi nimelifanyia uchuguzii...mahabaaa hayo hahahaha
 
Au ni ile tsunamai iliyotabiriwa...... Na mimi isha nikumba sasa

Mushi92;
Kama bado unaishi mabondeni (CCM) hama haraka kwani Mkurugenzi wa hali ya hewa ameshatangaza saana tu kuwa ni El-Nino, nayyo inaanzia hapo hapo mwezi Oktoba, 2015. Tena amesema kuwa itakuwa ni ya kipekee kwa zaidi ya miaka 60 iliopita.
Yaani watu wa mabondeni (CCM) weshaambiwa kabisa. Hayo mafuriko hayazuiliki kwa mikono. Ni kaushauri kidogo tu ila kwa watu makini, Weshakimbilia kwenye miinuko (UKAWA). Njoo kabla hujakutwa na hayo mafuriko
 
Nipo high Hills muda mrefu..... Nina kaz ya kuwaondoa wote wakaaao mabonden (ccm) lkn wamekuwa wabishi sana
 
Hata post hii inachangiwa sana na wanaovutiwa na lowasa
 
Back
Top Bottom