Vuvuzela la rangi nyekundu!!Nishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert!
Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu!
Usiniulize nipo timu gani?
Simba mnasajili wachezaji wote kwa 200m..Yanga mchezaji mmoja(chirwa) 200 m...manyoya kuweni wapole level tofauti kama barca na osasunaNishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert!
Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu!
Usiniulize nipo timu gani?