Kuelekea pambano la Yanga vs TP Mazembe!!

kuna taarifa nimezikuta kule Fb kuwa mechi ya kesho ni bureeeeeeee
 
Nishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert!

Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu!

Usiniulize nipo timu gani?
Simba mnasajili wachezaji wote kwa 200m..Yanga mchezaji mmoja(chirwa) 200 m...manyoya kuweni wapole level tofauti kama barca na osasuna
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom