Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Katika mtanange wa makundi kombe la dhirikisho klabu ya yanga itachuana na Tp Mazembe katika uwanja wa taifa!!
Je kuelekea mtanange huo kuna haja ya Yanga kutaka mashabiki wa timu hiyo pekee kuingia uwanjani bila kuwapa nafasi mashabiki kutoka timu nyingine esp wapinzani wao wa jadi kuingia uwanjani..? Ni sababu zipi kubwa zinazowafanya yanga kutaka kuthibiti mashabiki kutoka timu nyingine..