Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,306
CHADEMA Kama chama kikuu Cha upinzani.nategemea kamati kuu iliyosheheni wasomi Kama Prof baregu, Prof Abdallah safari, kamanda Heche na wengine, watafanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya demokrasi na uhai wa CHADEMA!!sitegemei wasaliti kusamehewa na kuendelea kubembelezwa.
CHADEMA iliwahi kumfukuza mwanachama na kiongoziii mahiri kama Zitto na CHADEMA ikapata consistency, Dr slaa aliondoka katika ya uchaguzi ulikuwa mgumu na mtamu bado CHADEMA iliongeza majimbo na halmashauri.
Huu si muda wa matamko uchwara, siasa hizi Si zile zakuitana ikulu na kupeana juice, nyakati zimebadilika nchi inahitaji upinzani imara na thabiti kuliko wakati mwingine wowote ule.
Hakuna nafasi ya wasaliti na wachumia tumbo kama CHADEMA haitaki kufa "natural death huu ndo wakati muafaka wakuchukua hatua na kuonesha kwa wananchi bado ni chama kikuu cha upinzani.
All the best kamati kuu tunategemea makubwa kutoka kwenu na siyo matamko uchwara yasiyo na mashiko!!