Kuelekea mkutano mkuu wa kamati kuu ya CHADEMA, nategemea maamuzi magumu

CHADEMA Kama chama kikuu Cha upinzani.nategemea kamati kuu iliyosheheni wasomi Kama Prof baregu, Prof Abdallah safari, kamanda Heche na wengine, watafanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya demokrasi na uhai wa CHADEMA!!sitegemei wasaliti kusamehewa na kuendelea kubembelezwa.

CHADEMA iliwahi kumfukuza mwanachama na kiongoziii mahiri kama Zitto na CHADEMA ikapata consistency, Dr slaa aliondoka katika ya uchaguzi ulikuwa mgumu na mtamu bado CHADEMA iliongeza majimbo na halmashauri.

Huu si muda wa matamko uchwara, siasa hizi Si zile zakuitana ikulu na kupeana juice, nyakati zimebadilika nchi inahitaji upinzani imara na thabiti kuliko wakati mwingine wowote ule.

Hakuna nafasi ya wasaliti na wachumia tumbo kama CHADEMA haitaki kufa "natural death huu ndo wakati muafaka wakuchukua hatua na kuonesha kwa wananchi bado ni chama kikuu cha upinzani.

All the best kamati kuu tunategemea makubwa kutoka kwenu na siyo matamko uchwara yasiyo na mashiko!!
Mawazo mazuri lakini hawana msemaji Wa Chama kila anaye jisikia kuongea anaongea chama kina poteza mvuto ( I always heat on the Nail they do not have a publicity secretary of the party it looks like a pressure group)
 
CHADEMA Kama chama kikuu Cha upinzani.nategemea kamati kuu iliyosheheni wasomi Kama Prof baregu, Prof Abdallah safari, kamanda Heche na wengine, watafanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya demokrasi na uhai wa CHADEMA!!sitegemei wasaliti kusamehewa na kuendelea kubembelezwa.

CHADEMA iliwahi kumfukuza mwanachama na kiongoziii mahiri kama Zitto na CHADEMA ikapata consistency, Dr slaa aliondoka katika ya uchaguzi ulikuwa mgumu na mtamu bado CHADEMA iliongeza majimbo na halmashauri.

Huu si muda wa matamko uchwara, siasa hizi Si zile zakuitana ikulu na kupeana juice, nyakati zimebadilika nchi inahitaji upinzani imara na thabiti kuliko wakati mwingine wowote ule.

Hakuna nafasi ya wasaliti na wachumia tumbo kama CHADEMA haitaki kufa "natural death huu ndo wakati muafaka wakuchukua hatua na kuonesha kwa wananchi bado ni chama kikuu cha upinzani.

All the best kamati kuu tunategemea makubwa kutoka kwenu na siyo matamko uchwara yasiyo na mashiko!!
Ndugu zangu tuache kudanganyana siku hizi hakuna CHADEMA wala chama kikubwa cha upinza maana hao wanao jiita CHADEMA walisha tawaliwa na kutekwa na yule walio muuta fisadi "LOWASA" na ukiangalia CHADEMA ya sahizi na ile ya kabla ya ujio wa LOWASA ni vyama viwili tofauti.
 
Maamuzi magumu yaliyofikiwa ni kuwataka Wabunge wao wajitoe kwny Mashindano
 
CHADEMA Kama chama kikuu Cha upinzani.nategemea kamati kuu iliyosheheni wasomi Kama Prof baregu, Prof Abdallah safari, kamanda Heche na wengine, watafanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya demokrasi na uhai wa CHADEMA!!sitegemei wasaliti kusamehewa na kuendelea kubembelezwa.

CHADEMA iliwahi kumfukuza mwanachama na kiongoziii mahiri kama Zitto na CHADEMA ikapata consistency, Dr slaa aliondoka katika ya uchaguzi ulikuwa mgumu na mtamu bado CHADEMA iliongeza majimbo na halmashauri.

Huu si muda wa matamko uchwara, siasa hizi Si zile zakuitana ikulu na kupeana juice, nyakati zimebadilika nchi inahitaji upinzani imara na thabiti kuliko wakati mwingine wowote ule.

Hakuna nafasi ya wasaliti na wachumia tumbo kama CHADEMA haitaki kufa "natural death huu ndo wakati muafaka wakuchukua hatua na kuonesha kwa wananchi bado ni chama kikuu cha upinzani.

All the best kamati kuu tunategemea makubwa kutoka kwenu na siyo matamko uchwara yasiyo na mashiko!!
Kuna shida gani ndani ya chadema? Mbona tena kuna taarifa zipo humu jukwaani kuwa mbunge wa Siha nae kaenda ccm?
 
Back
Top Bottom