Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,159
- 2,514
Du Sawa Mkuu!Droo Al ahly kashinda.
ILA kufungwa Simba SAHAU
Du Sawa Mkuu!Droo Al ahly kashinda.
ILA kufungwa Simba SAHAU
Umesahau utabiri wako siku tunacheza na vita, mnatafuta stress za kujitakia naona stress za utopolo hazikutoshiHaya ndugu.Ngoja tuone.Muda utasema,Leo Mwarabu anataka kujihakikishia kuongoza kundi na kuvuka hatua .Simba ndiyo mtajua Kama mna benchi la Ufundi au mna kikundi Cha wahuni ambao Wana uwezo wa kumsoma mpinzani na kumkabili .Najua baada ya hii mechi kutakuwa na kulaumiana sana kwamba hapa tatizo ni fulani na fulani hawatufahi waondoke
Hapo senzo si ajabu anamwambia mkifungwa kateni rufaa Morison ni mchezaji wa yangaWapi Barbara kakutana na Ibenge? siku moja kabla ya mchezo kule kongo Vita Vs Simba?
Kama ile picha ninyaoifahamu mm ilipigwa Zanzibar, Ibenge alivyokuja na timu ya Taifa ya Kongo.
Hapo kuna nyoni, kahata, kagere, boko, Morison kwa uchache sisi sio kama nyie mukoko akikosekana timu nzima panchaWachezaji Ni hao hao hawana mbadala . Sasa wale waarabu wana uwezo wa kubadilisha timu nzima.
Du Sawa Mkuu!
Huu sio utani. Ni udhalilishaji kwa mtu binafsi.
Kama utakua mnazi wa Uto si utafurahi mtani kafungwa?Simba akifungwa si maumivu sasa ya kuliwa 10000 yangu
Angalia hiyo picha yako isije ikageuka mkia ukawa unatazama huku juu....What a day....KUN FAYAKUN
Ndo mnachokiwazaga ndoo maana mnaishia kulalamika wanga wakubwa nyieAngalia hiyo picha yako isije ikageuka mkia ukawa unatazama huku juu....
manake waarabu wataliona tundu kiwepesi
kwani kwa Plateau, Platnums na AS Vita ulisemaje?huna jipyaMuda wa mwana wa Adam kunywea kikombe cha mauti unakaribia
Junior Ajayi hata mechi ya 2019 alikuwepo hakufurukuta.Naye katua janaView attachment 1708291