Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC na Al Ahly SC, Mechi ya Kibabe kwa Wababe wa Soka

Status
Not open for further replies.
Tangu mwaka 2018 Simba SC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa hatujawahi kufungwa.

Mechi..9
Ushindi..6
Sare..3
Kupoteza..0

Next...!


Screenshot_20210223-102607.jpg
 
Haya ndugu.Ngoja tuone.Muda utasema,Leo Mwarabu anataka kujihakikishia kuongoza kundi na kuvuka hatua .Simba ndiyo mtajua Kama mna benchi la Ufundi au mna kikundi Cha wahuni ambao Wana uwezo wa kumsoma mpinzani na kumkabili .Najua baada ya hii mechi kutakuwa na kulaumiana sana kwamba hapa tatizo ni fulani na fulani hawatufahi waondoke
Umesahau utabiri wako siku tunacheza na vita, mnatafuta stress za kujitakia naona stress za utopolo hazikutoshi
 
Wapi Barbara kakutana na Ibenge? siku moja kabla ya mchezo kule kongo Vita Vs Simba?

Kama ile picha ninyaoifahamu mm ilipigwa Zanzibar, Ibenge alivyokuja na timu ya Taifa ya Kongo.
Hapo senzo si ajabu anamwambia mkifungwa kateni rufaa Morison ni mchezaji wa yanga
 
Simba leo anaenda kushinda kwa tofauti ya goli moja dhidi ya Al ahyl(2-1,1-0,3-2 etc..) tofauti na hapo itasuluhu
 
WAZEE SIMBA LEO ANASHINDA KWA KINACHOENDELEA MAKABURINI SIMBA 2 ALAHALY 1.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom