Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,749
Dah
Kwa hiyo ndio sitaingia JF tena...
Kwa hiyo ndio sitaingia JF tena...
nenda shops zao upate cm...Uwiiii mie yan sijui Nitafanyaje naona kwenye hilo. Gazet limeandika makampun ya cm yamejitolea kutoa offa ya cm mwenye contact zao pls aniwekee hapa ili nijaribu kuomba labda ntapata hiyo offa.
Naona TCRA wanataka kutuweka kimatabaka humu jukwaaniHIVI ZINAZIMWA KWELI HIZI SIMU, YAAANI MAISHA YANAONGEZEKE KUWA MAGUMU MIE NIANZE KUWEKA LAKI MBILI YA SIMU UWII HELA HAKUNA, HAPANA WACHA NIFANYE MAMBO MENGINE, KUMSALIMIA MAMA NTAMUANDIKIA BARUA HAHA LEO ANAIPATA WIKI IJAYO PERIOD BYE BRY SIMU![]()
Sio wakubadilishie,wakuuzie kwani bure!Kesho ndo mwisho wa kutumia simu feki ....ilaaaa nimesikia tangazo kama unasimu feki nenda duka lolote la Tigo na simu yako ili wakubadikishieeee
KWA AVATAR YAKO NAKUBALI NOTI NOTI NOTI SASA NTAKUPATAJE ILHALI NITAPOTEA HEWANI GHWAFLA? HAHAHAHA MKUU NIKUTAFUTE KABLA YA KESHO SAA 6 USIKU AMA NIAJE ...sitakudai wala kutaka chochote toka kwako
nenda shops zao upate cm..tigo wana aina mbili za simu moja ni UNANUNUA VOCHA ZA 22000 unapewa simu bure au vocha za 200000 unapewa smart phone bure. mi nimechukua mojaSio wakubadilishie,wakuuzie kwani bure!
Pole sana, nunua nokia ya tochi,HAHAHA AISEE KWAKWELI BAJETI YA SIMU SINA HUWII BADO KUNA KODI Z NYUMBA NA ADA ZA WANA MWEZI WA 7.......... NTAKOSEKANA HEWANI KWA MUDA ....
yeeeeeeeees!KWA AVATAR YAKO NAKUBALI NOTI NOTI NOTI SASA NTAKUPATAJE ILHALI NITAPOTEA HEWANI GHWAFLA? HAHAHAHA MKUU NIKUTAFUTE KABLA YA KESHO SAA 6 USIKU AMA NIAJE ...
MAANA SIMU ZITAZIMA GHAFLA KAMA YESU ATAKAPORUDI ,,,,,,,,,
Kuwa na simu original hakuhitaji pesa nyingi,hata kwa tsh.18,000/= unapata original.HIVI ZINAZIMWA KWELI HIZI SIMU, YAAANI MAISHA YANAONGEZEKE KUWA MAGUMU MIE NIANZE KUWEKA LAKI MBILI YA SIMU UWII HELA HAKUNA, HAPANA WACHA NIFANYE MAMBO MENGINE, KUMSALIMIA MAMA NTAMUANDIKIA BARUA HAHA LEO ANAIPATA WIKI IJAYO PERIOD BYE BRY SIMU![]()
AFADHALI UWIIMuda umeongezwa week 2
INAPATIKANA SASA ? TANGU WACHAINIZ.. WATULETEE HAYA MASIMU YAO FEKERO YENYE MILIO YA KUWATOA NYOKA PANGONI TULIZIZADHARAU NOKIA ZA TOCHI, UKIMWINA MTU ANAITUMIA UNAMWONA KAPITWA NA WAKATI SASA NI ZAMU ZETU KUANGALIWA KWA KINYAAPole sana, nunua nokia ya tochi,
Uwiiii mie yan sijui Nitafanyaje naona kwenye hilo. Gazet limeandika makampun ya cm yamejitolea kutoa offa ya cm mwenye contact zao pls aniwekee hapa ili nijaribu kuomba labda ntapata hiyo offa.
Kesho ndo mwisho wa kutumia simu feki ....ilaaaa nimesikia tangazo kama unasimu feki nenda duka lolote la Tigo na simu yako ili wakubadikishieeee