Abeeeh dada akeeeHivi watani zangu kina Sapta Sapta, Shunie , King Ngwaba , Mtoto halali na hela, 100 Likes Tui, Sesten Zakazaka , Proved, Van pebles , brave one, OKW BOBAN SUNZU , chaliifrancisco ,toxic9, Simara huu uzi hamujauona.
Acheni hizo banaaa.
Ee Mungu Baba yetu wa mbinguni, ikiwezekana, kikombe hiki kituepuke; walakini si kama tutakavyo sisi, bali kama utakavyo wewe.
Amen.
Ndo maana tunasema wasiokuwa na taaluma ya ukocha wakae pembeni..Asante mkuu kwa kugundua hiloMungu ni mwema, kocha ana akili sana aisee sikutegemea coulibaly kucheza vizuri hivi
Africa ni moja, tunawaombea kheri wageni wetu, inshaallah!