Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'


N

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5,370
Likes
1,634
Points
280
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
5,370 1,634 280
Kuna dalili zote uwanja unaweza kujaa maana hadi sasa almost half ground covered
 
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
1,184
Likes
2,067
Points
280
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
1,184 2,067 280
Ee Mungu Baba yetu wa mbinguni, ikiwezekana, kikombe hiki kituepuke; walakini si kama tutakavyo sisi, bali kama utakavyo wewe.

Amen.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,397
Likes
10,265
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,397 10,265 280
Simba atapigwa hapo kwa mchina na atanyanyaswa sana.
Maana 5imba haiko sawa kisaikolojia had sasa.

Eti wanaulizwa, mmejiandaaje kuwakabili Al Ahly? Wanajibu ooh, tumeweka mechi juani ili Mwarabu anyooke. Hivi hapa nipo nagugo nipate jibu ikiwa kanuni za FIFA zinaruhusu ambaye kagongwa 5 first leg anaruhusiwa kucheza na miamvuli
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,397
Likes
10,265
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,397 10,265 280
Leo ndio leo jamaani. Wale Waarabu wenzangu tujumuikeni kwa pamoja kuwapa Support Waarabu wenzetu kwa Mchina. 😜😜

Nifah uko wapi Mwarabu Koko mwenzangu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Africa ni moja, tunawaombea kheri wageni wetu, inshaallah!
 

Forum statistics

Threads 1,262,466
Members 485,588
Posts 30,123,046