Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Mikia hongereni..khaaa yule kiongozi wa Imani sio mtu mzuri( if you know what I mean)..jamaa kama wamebeba mifuko ya cement
 
Asante mkuu, ulijiamini ukijua lazima alama 3 zibaki nyumbani kama tulivyojulisha umma..SimbaNguvuMoja.
Mechi ya Leo Haina presha kabisha Al Ahly watakuwa wanapoozesha mchezo wakitafuta droo Huku wakivizia kupigana counter attack
Mechi rahisi kabisha hii kwa Simba Mimi ntaicheki Huku nashushia na crips taratibuuuu Huku Chama, kagere na Okwi wakitoa burudani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu habari unayo tulijua nini tutafanya aisee! Sikukurupuka kuandika hii Thread..SimbaNguvuMoja
hivi ninyi wanazi wa hizi timu mbili za kichawi za mbumbumbu fc na vyura sc..... kwa nini msiwe mnasubiri matokeo ya uwanjani badala yake mnakalia kupiga tu ramli huku uwezo wenu ni mediocre?

yaani hadi inaudhi kwa kweli. timu zetu zote za Tanzania zimeshindwa kufurukuta vs second tiers za hapo Kenya kwenye Sportpesa tournament halafu eti mnatamba mtashinda vs the likes of Al Ahly? get a freaking life you people!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom