Kuelekea Eid: Bei ya kuku yafika shilingi 30,000

Kuelekea Eid: Bei ya kuku yafika shilingi 30,000

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,699
Reaction score
2,260
FB_IMG_1497852573219.jpg
Mkazi Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania akichagua kuku kwa ajili ya mandalizi ya sikukuu ya Eid El-Fitr ikiwa ni hitimisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Hivi sasa bei ya kuku wa kienyeji imepanda kufikia shilingi 30,000 kwa jogoo.

Chanzo: DW Kiswahili
 
Mbona bei hii ni kawaida tu mkuu??kwan uko wapi?
 
Kwani hiyo Sikukuu ya Eid ni lini?

Unanunua kuku leo hadi ifike si anaweza akakufia kwa kideri.

Mkazi Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania akichagua kuku kwa ajili ya mandalizi ya sikukuu ya Eid El-Fitr ikiwa ni hitimisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Hivi sasa bei ya kuku wa kienyeji imepanda kufikia shilingi 30,000 kwa jogoo.

Chanzo: DW Kiswahili
 
Sema bei hizi kupanda na kushuka haziwanufaishi wafugaji sanasana madalali na wauzaji wa mwisho.
 
UNUNUE KUKU LEO MPAKA IDD SI KUKU ATAKUFA KWA MAWAZO MAANA KILA KUKICHA ANAJUA LEO NDO LEO
 
Nikija kuuza hapo kuku wangu kwa 15-20 nitamuharibia soko jamaa hahaha
 
Hiyo bei kwani lazima tule kuku?hata samaki kitoweo tu,tukikosa sana tutakula mchicha badala ya kuchuma thawabu mnataka kuchuma dhambi
 
mi kwanza sili jogoo napenda kuku jike tena awe mdada flani hivi amaizing watatu sana
 
Back
Top Bottom